Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Toka hapaElimu yako basic kuhusu HIV ni almost zero
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka hapaElimu yako basic kuhusu HIV ni almost zero
Hivi miaka miwili ndo wiki mbiliRashes na magonjwa nyemelezi vinatakiwa kuja muda ambao kinga ya mwili imeshakua apeche alolo. Na huo muda hauwezi kua wiki mbili.
Wewe unambiwa yupo mjini miaka miwili wewe unaongelea wiki mbiliToka hapa
Sababu akilini mwako unawaza kuwan nikienda kupima leo nikakutwa na HIV basi nimeambukizwa leo, Ni hv inachukua miezi mitatu tangu uambukizwe kipimo kuonyesha( hv vya kawaida) ila PCR unaweza kugundua maambukizi mapemaRashes na magonjwa nyemelezi vinatakiwa kuja muda ambao kinga ya mwili imeshakua apeche alolo. Na huo muda hauwezi kua wiki mbili.
Kwani wewe una ukimwi? Mimi ninao ujue naongelea experience. Wewe unao?Sababu akilini mwako unawaza kuwan nikienda kupima leo nikakutwa na HIV basi nimeambukizwa leo, Ni hv inachukua miezi mitatu tangu uambukizwe kipimo kuonyesha( hv vya kawaida) ila PCR unaweza kugundua maambukizi mapema
Ah wee kwa utamu ule bwana wacha tuu nife na ngoma. Ngoma kitu gani bwana wewe....kisukari ndio mbinde. Kksukari ata kugegeda inakuwa shida wakati ngoma unaendelea kula mbususu.Kuna jamaa tangu m1 bwana yupo bongo mwaka wa pili huu...ila kwa maisha aliyokua anaish..anayoish had sasa kiukwel nilijua tu ipo siku kitu kama hiki kingetokea..hapa kachanganyikiwa week ya pili hii hata nje hatok...
Huyu jamaa ni muitaliano...mzungu Og kabisa yan...
Mkuu juzi tu hapa beki 3 wa jamaa yangu ni ana miaka 16 tu walichukua simu yake kuangalia ana chati na watu kama 7 na wote anawapanga kumbe na alipotoka huko baba mwenye nyumba alikuwa anakula mzigo alafu alikuwa ana kaambia kamfate alipo atakapa ela ya nauli.Mkuu ndio maana NGOMA iko juu sana kwa KE zaidi ya ME....ukiacha sababu za maumbile yao kupata kirahisi pia kuna mchango mkubwa wa wao KUJIACHIA......
Hebu jaribu kufanya kautafiti kwa VIJANA WA KIUME 15-24 kama utakuta wengi wao waneshawahi kuwa na wapenzi zaidi ya 10....halafu angazia kundi la mabinti 15-24 uone wameshakutana na wangapi.....utashangazwa kuijua IDADI YA SEXUAL PARTNERS WAO though machoni wanaonekana WATULIVU na "KAMWE" hawatokiri kuwa na MULTIPLE SEXUAL PARTNERS [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah! Sijui kwaniniWanawake hawaogopag ngoma aisee..amin hilo....yaan katika maisha yangu..decision ya kuvaa kinga huwa naisisitiza mimi...ila weng hawapend..amin hilo
Mkuu Umenena......Mkuu juzi tu hapa beki 3 wa jamaa yangu ni ana miaka 16 tu walichukua simu yake kuangalia ana chati na watu kama 7 na wote anawapanga kumbe na alipotoka huko baba mwenye nyumba alikuwa anakula mzigo alafu alikuwa ana kaambia kamfate alipo atakapa ela ya nauli.
Kali kuliko juzi hiyo jamaa akawa ana chati nako kwa namba tofauti ana kaambia mimi nakuonaga tu unakaa sehemu flani nakupenda nataka tuonane gesti flani,mara wanaona dogo anaoga anavaa ana jiandaa kuondoka wana muuliza anaenda wapi anasema anaenda kumsalimia shangazi yake....imagine miaka 16 tu.
nina tatizo la delayed ejaculation kuanzia goli la 2 kama la kwanza nikikojoa ndani ila la kwanza nikikojoa nje kwa blow job basi la pili napiga fasta dakika 2 tu pamoja na vilainishi na vipimo, unapunguza risk kwa 99% hasa kama mtu yuko kwenye grace period.
Mkuu, kwa kutusaidia ungejaribu kutuwekea hapa picha ya pua yake tu.Kuna jamaa tangu m1 bwana yupo bongo mwaka wa pili huu...ila kwa maisha aliyokua anaish..anayoish had sasa kiukwel nilijua tu ipo siku kitu kama hiki kingetokea..hapa kachanganyikiwa week ya pili hii hata nje hatok... Huyu jamaa ni muitaliano...mzungu Og kabisa yan...
Kwa jinsi alivyokua na list ya wadada hapa mjini na Zanzibar daaah...huyu jamaa kwa kuwala tu dada zetu hawa..amewala vibaya mno...na wanampenda kwelkwel wadada...siunajua waswahil wanavyochanganyikiwa na wazungu..sasa nahis katika harakat hzo ameukwaa..yeye anasema hajui nan kampa ila mi nmemwambia atakua kautoa Zanzibar..maana kule alikua anawacharaza vibaya mno......
Anatia huruma mwamba...analia tu..halaf bado umri mdogo tu..29...ila dah maisha haya....yaan huyu jamaa ndo alikua the real definition ya ma.laya....kuna stor zingne anakuhadithia unabak unashangaa ..zingne si tumeona kwenye porn.mwamba had 4sum anapiga..
Kwel nmeamin ngwengwe asilimia kubwa watu wanaipata kwakua na multiple partners..... Jaman ngoma ipo...huyu mwamba ametokwa ma rush mwil mzima..kawa mwekundu dah....huruma kwakwel.... Nyie wadada kuwen makin...maana nyie hamuogopag ngoma nyie....
Kidimbwi keshachafua sanaaa ..yan dah
Enewei...nmeona nishee tuu....uhuni mbaya jaman
Uzi tayar
Itakuwa aliona hali tete ndo akapima. Unakuta ilikuwa inamtafuna mda mrefu.Yaani ukimwi alioushtukia wiki mbili umtoe rashes? Ni urongo
Wewe pia uelewa wako kuhusu vipimo vya ukimwi na ukimwi ni zero.Sababu akilini mwako unawaza kuwan nikienda kupima leo nikakutwa na HIV basi nimeambukizwa leo, Ni hv inachukua miezi mitatu tangu uambukizwe kipimo kuonyesha( hv vya kawaida) ila PCR unaweza kugundua maambukizi mapema
Sasa mbona Unarudia unaandika yake ambayo nimeandika MimiWewe pia uelewa wako kuhusu vipimo vya ukimwi na ukimwi ni zero.
Vipimo vinaanza kuonyesha kuanzia siku ya 10 hadi 90 baada ya maambukizi sio kwamba virusi wanaanza kuonekana baada ya siku 90, huo ni uongo. Hiyo elimu yako ya ukimwi utakua umeipata vichakani.
Rudi shule ujifunze kuhusu vipimo vya ukimwi vinavyofanya kazi.
PCR inaonyesha kuanzia siku 10 hadi 33.
Rapid test za fourth generation kama ELISA zinaonyesha kuanzia siku 21 hadi 44, hii ni combo ya antibody na antigen. Wataalam wengi siku hizi wanatoa conclusive result kwa ELISA ndani ya siku 50.
Rapid za antibody za third and second generation kama hizi za Bioline/unigold zinaonyesha maambukizi ya kati ya siku 21 hadi 90.
Hizo ni general guidelines za WHO, CDC na taasisi nyingi za Afya Duniani. Ndio maana window period maximum imewekwa siku 90 kwamba 99.9% wa watu wataonyesha reaction ndani ya huo muda.
Kusema virusi vinaonekana baada ya siku 90 unaonyesha kabisa una elimu finyu kuhusu Ukimwi.
Hujagundua kosa lako.Sasa mbona Unarudia unaandika yake ambayo nimeandika Mimi
Haya nasummarize tena hapa
1vipimo hv routine Rapida/elisa. Antibidies wanakuwa detected kwa uhakika miezi 3 ndo maana ukienda angaaza leo wana kwambie urudi baada ya miezi 3
PCR ambayo unacheck genetic make up ya virus ndo unaweza kudetect mambukizi mapema
Sasa siku 90 si ndo miezi 3 au