Jamaa yangu amepata maambuki ya Virusi vya UKIMWI, namuonea huruma. Inabidi arudi kwao Italy

Rashes na magonjwa nyemelezi vinatakiwa kuja muda ambao kinga ya mwili imeshakua apeche alolo. Na huo muda hauwezi kua wiki mbili.
Sababu akilini mwako unawaza kuwan nikienda kupima leo nikakutwa na HIV basi nimeambukizwa leo, Ni hv inachukua miezi mitatu tangu uambukizwe kipimo kuonyesha( hv vya kawaida) ila PCR unaweza kugundua maambukizi mapema
 
Ah wee kwa utamu ule bwana wacha tuu nife na ngoma. Ngoma kitu gani bwana wewe....kisukari ndio mbinde. Kksukari ata kugegeda inakuwa shida wakati ngoma unaendelea kula mbususu.
 
Mkuu juzi tu hapa beki 3 wa jamaa yangu ni ana miaka 16 tu walichukua simu yake kuangalia ana chati na watu kama 7 na wote anawapanga kumbe na alipotoka huko baba mwenye nyumba alikuwa anakula mzigo alafu alikuwa ana kaambia kamfate alipo atakapa ela ya nauli.

Kali kuliko juzi hiyo jamaa akawa ana chati nako kwa namba tofauti ana kaambia mimi nakuonaga tu unakaa sehemu flani nakupenda nataka tuonane gesti flani,mara wanaona dogo anaoga anavaa ana jiandaa kuondoka wana muuliza anaenda wapi anasema anaenda kumsalimia shangazi yake....imagine miaka 16 tu.
 
Mkuu Umenena......

Mkuu umetambaa kiuhalisia....

Huo ndio UKWELI ambao WATU WENGI TUNAPENDA kujidanganya kwa "kufunika kombe mwana .....apite" 🤣🤣
 

Naona umeamua kujipigia na promo kabisa. maligend tumekuelewa.[emoji4]
 
Mkuu, kwa kutusaidia ungejaribu kutuwekea hapa picha ya pua yake tu.
 
Sababu akilini mwako unawaza kuwan nikienda kupima leo nikakutwa na HIV basi nimeambukizwa leo, Ni hv inachukua miezi mitatu tangu uambukizwe kipimo kuonyesha( hv vya kawaida) ila PCR unaweza kugundua maambukizi mapema
Wewe pia uelewa wako kuhusu vipimo vya ukimwi na ukimwi ni zero.

Vipimo vinaanza kuonyesha kuanzia siku ya 10 hadi 90 baada ya maambukizi sio kwamba virusi wanaanza kuonekana baada ya siku 90, huo ni uongo. Hiyo elimu yako ya ukimwi utakua umeipata vichakani.

Rudi shule ujifunze kuhusu vipimo vya ukimwi vinavyofanya kazi.

PCR inaonyesha kuanzia siku 10 hadi 33.

Rapid test za fourth generation kama ELISA zinaonyesha kuanzia siku 21 hadi 44, hii ni combo ya antibody na antigen. Wataalam wengi siku hizi wanatoa conclusive result kwa ELISA ndani ya siku 50.

Rapid za antibody za third and second generation kama hizi za Bioline/unigold zinaonyesha maambukizi ya kati ya siku 21 hadi 90.

Hizo ni general guidelines za WHO, CDC na taasisi nyingi za Afya Duniani. Ndio maana window period maximum imewekwa siku 90 kwamba 99.9% wa watu wataonyesha reaction ndani ya huo muda.

Kusema virusi vinaonekana baada ya siku 90 unaonyesha kabisa una elimu finyu kuhusu Ukimwi.
 
Sasa mbona Unarudia unaandika yake ambayo nimeandika Mimi
Haya nasummarize tena hapa

1vipimo hv routine Rapida/elisa. Antibidies wanakuwa detected kwa uhakika miezi 3 ndo maana ukienda angaaza leo wana kwambie urudi baada ya miezi 3
PCR ambayo unacheck genetic make up ya virus ndo unaweza kudetect mambukizi mapema
Sasa siku 90 si ndo miezi 3 au
 
Hujagundua kosa lako.

Kosa lako liko kwenye kusema virus wanaonekana baada ya siku 90 kitu ambacho sio kweli.

Mimi nimekwambia Virus wanaonekana ndani ya siku 90.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…