Jamaa yangu amepata maambuki ya Virusi vya UKIMWI, namuonea huruma. Inabidi arudi kwao Italy

Sorry brother, mfn umeukwaa na bado hajapima....kikawaida hua inachukua mda mgan mpaka uanze kuumbuka.....
 
Sorry brother,mfn umeukwaa na bado hajapima....kikawaida hua inachukua mda mgan mpaka uanze kuumbuka.....
Ni baada ya muda hasa mwaka 1 hadi 10 ambapo kinga zinakua zinashuka kwa kushambuliwa na vijidudu. Inategemeana na kinga ya mtu na mtu ila wastani ni kuanzia mwaka mmoja hadi 10.

Solution ni kupima tu hakuna namna nyingine. Wataalam wanasema within 6 weeks baada ya maambukizi utaonekana tu unao. Watu wachache sana wanaweza kuchukua hadi wiki 12 kuonyesha ila 95.9% wanakua wameonyesha ndani ya huo muda wa wiki 6 na waliobaki ndani ya wiki 12 ama siku 90.
 
Ni baada ya muda hasa mwaka 1 hadi 10 ambapo kinga zinakua zinashuka kwa kushambuliwa na vijidudu. Inategemeana na kinga ya mtu na mtu ila wastani ni kuanzia mwaka mmoja hadi 10.
After 1-10 years mbna parefu mno, mtu anaweza kudhani kaukwaa last year kumbe 9 years back. Hapo ni kwamba ilikujihakikishia huna labda upime tu.
 
Nyie ngwengwe isikieni tu mwez mmoja nyuma nmemmwaga manzi moja juzi nmekutana nae ananitambia X mbona unakonda ivo haraka we si uliona umepata kapime sasa..
Kila siku nakua hospital ila nmeshindwa kujipima mpka sasa
Haha haaahaaa [emoji16]
 
After 1-10 years mbna parefu mno, mtu anaweza kudhani kaukwaa last year kumbe 9 years back. Hapo ni kwamba ilikujihakikishia huna labda upime tu.
Wanasema within that time mwili wako bado unakua na kinga za kutosha na bado unafight kukuweka safe ila with time kinga zitaanza ku drop significantly hadi sasa unakua na ukimwi wenyewe maana yake kinga yako inaelekea mwisho hapo hata mafua ama kikohozi tu kidogo kinakupiga chini.
 
Asee hili ni balaa[emoji22][emoji848]
 
Unaweza ukawa unasimanga watu kumbe ni swala la PERIOD!!!!.
 
Unaweza ukawa unasimanga watu kumbe ni swala la PERIOD!!!!.
Sure.

The best way ni kua unafanya checkup kila baada ya muda na kuongeza umakini.

Mimi sasa hivi niko makini kuliko chochote kwenye haya mambo maana hii ni second time natafuna watu wenye ukimwi halafu nanusurika kwa kumeza PEP. Nimekoma.
 
Dhambi haijawahi kuwa mbaya machoni pa mwanadamu wakati inatendwa ila matokeo yake ndiyo mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…