Jamaa yangu amepata maambuki ya Virusi vya UKIMWI, namuonea huruma. Inabidi arudi kwao Italy

Sure.

The best way ni kua unafanya checkup kila baada ya muda na kuongeza umakini.

Mimi sasa hivi niko makini kuliko chochote kwenye haya mambo maana hii ni second time natafuna watu wenye ukimwi halafu nanusurika kwa kumeza PEP. Nimekoma.
Pole sana.

Baada ya kuwapima wanahali gani mpka sasa?

Sishauri check ups za mara ila nashauri matumizi ya kinga kwa kila tendo na kila round. Itakupa Kujiamini every now and then umejihakikishia uzima wako.

Pia Sishauri kumpima mtu kwani unaweza kumpima kumbe kaukwaa siku za karibuni au anafata taratibu sahihi za matumizi ya dawa au ukakosea upimaji na error zingine nyingi.

Tutumie kinga kwa kila tendo kwanza inafaida kubwa hasa delayed ejaculation.
 
Kupima risk inakua kama kaambukizwa siku za karibuni lakini kama anao na anatumia dawa risk ya wewe kuupata ni ndogo sana.

Mimi Aproach yangu mpya ni kupima na kutumia lublicants pamoja na kufanya ngono ya starehe, goli 1 ama mbili na kila goli isizidi dakika 3. Ngono ya kusimamia kucha nimetemana nayo kabisa.
 
Yaani humu watu wanafundishana jinsi ya kuuepuka kuukwaa huku wakiendelea kufanya umalaya.Dawa ni acheni umalaya na kabla hujakuwa na mwenzi mpya pimeni ukimwi kwanza.Na ni vizuri mkipima often maana binaadamu hatuaminiki 100% inawezekana wewe muaminifu na mwenzako anakitembeza tu huko nje!

Ukimwi upo na unaua na usiowategemea walimbwende haswa ndo wanao maana wanapenda kuvitembeza!Kila mahala upo hata wazungu wanao ila nchi zilizoendelea wanafuatiliwa na ukijulikana una maambukizi na unaendelea kuambukiza kuna consenquence yake!Yaani upo controlled!
 
Shida ya wa Italiano wanapenda sana nyuma Hasa kwa wanaume wenzao, Hawajali Shoga wala Rijali ilimradi Ana Tundu tu.
Huko ndo alipolipatia tatizo.
 
Kuongea rahisi[emoji848]
Mi nna mwaka wa ngap huu sjui..kavu sjapiga...siwez fanya hyo kitu bila ndom..

Nna malengo meeng sana sjatimiza so huwa niko makin sana..hata denda ni nadra sana kupiga kwa random chicks...mim nna mfumo wangu ambao mtu mwingne nkimuhadithia anashangaa...mim nikishave down..sifany mapenz had zipite siku3...denda sipig hovyo..ndom naivaa kikamilifu kabisa na naikagua sana maana kuna bint m1 baada ya kutakaga afosi nizae nae sku1 nilikua ndom kazitoboa sasa hakujua mim ndom huwa naiangalia na darubin kabisa...

Mi nikipima mtu oil nahakikisha kucha zangu na vidole vyangu havija chubuka..yaan viko sawa. Na katika tendo huwa nahakikisha foreplay ya maana ili mtoto alainike vilivyoo pasitokee unnecessary michubuko...yaan mim kila dem huwa namtreat kama kaathirika vile ..tho nato.mba sanaaa ila kwa tahadhar hzo..
 
Hahaha. Hapo kwenye delaying nadhan kwako ndo muhimu zaid halaf kinga.hahahahah.hatar sana
 
Rashes na magonjwa nyemelezi vinatakiwa kuja muda ambao kinga ya mwili imeshakua apeche alolo. Na huo muda hauwezi kua wiki mbili.
Rashes pia zinaweza kutoka week 2-4 baada ya kupata ngoma ni moja kati ya dalili za awali za HIV hatua hii ya hawali huitwa HIV stage I au HIV asymptomatic au unaweza kuita window period.
 
Duh.bas kama alijua itakua alikua anafanya maksud...mbaya sana...kuna kipind nilimwambia anitaftie mtoto m1 wa kizungu katika circle yake....akakubal kabisa...ila ikatokea tu hilo swala halikufanikiwa.....dah namii ningeukwaa aisee..daah
Mtaliani akutafutie wewe huyo ulitaka akutafutie [emoji3][emoji3][emoji3] sahau, Sisi black ndio huwa tuna viherere vya kumtafutia mzungu demu, wataliani wanadharau Sana ngozi nyeusi japo atakufurahia Sana bado dharau ipo katika damu, ungengoja Sana [emoji3][emoji3]
 

Anajutia nini? Kapanda Mahindi na kayavuna
 
Bongo ngoma ama hepatitis kupata rahisi sana..

Ukipiga malaya hawazidi 10 kavu kavu na swaga kama unapiga mkeo .. lazima utoke na kitu
CYO kweli Kuna jamaa angu nae Ni malaya haswa Ana chakata haswaa hao kumi una wasema wew kasha kula mpk mwenye doz. Kbsa ila ajaukwaa niliwaza uhuu ukimwwi unaozungumziwaa Ni upi mbn huyu hkn Ni Malay vibay cjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…