kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Au na kule utumishi wanaangalia GPA mzee?Acha wivu wewe pambana na mizozo yako mwenyewe sio kutangaza kazi za wenzako..tafuta wa kukushika....HII NI VITA
JK mwenyewe alikuaga na Gentleman na akawa the boss,huku wenye 1st class zao wakimlamba miguu.Kwani vigezo vinasemaje ? Usiwe na Pass Degree ?
Achana na Pass hata mtu anaweza asiwe na degree bado akapata kazi na wewe mwenye degree Ukakosa (huenda kuna vitu mwajiri anaviangalia ambavyo wewe hauna)
Labda ingekuwa kufundisha vyuoni. Huku tuaangalia mtu anajimudu kiasi gani? Karatasi za vyeti zinakusaidia kuwa na absolute minimum requirements tu unapoomba kazi.Kuna jamaa yangu tumepiga nae shule, yeye alikua sio mtu wa ile misuli mirefu,kapata pass degree grade.ila cha kufurahisha ni kwamba jamaa tayari kalamba mkataba kwenye kampuni kubwa tu linalojihusisha na utengenezaji na usambazaji wa cement hapo mjini Daslamu.
Binafsi zamani nilikua najua mtu akimaliza chuo na pass degree,basi sehemu pekee anayoweza kupata kazi ni serikalini tu,kumbe mambo sivyo.
Mapambano yaendelee job seekers wenzangu.
......then proof urself wrong....Binafsi zamani nilikua najua mtu akimaliza chuo na pass degree,basi sehemu pekee anayoweza kupata kazi ni serikalini tu,kumbe mambo sivyo.
Nje ipi umeishi wewe?Huo ujinga upo Tanzania tu, lakini huko Nje bila GPA kubwa, ufaulu mzuri hutoboi kizembe, haki ya mtu haiibwi, siwezi kutumia mtu mwenye ufaulu mdogo kwenye ofisi zangu.