Jamaa yangu ana pass Degree lakini tayari kapata kitengo

Jamaa yangu ana pass Degree lakini tayari kapata kitengo

Kufaulu hasa sayansi inategemea na mtu alivyo up - stairs. Hakuna kubahatisha, aliyefaulu vizuri zaidi hata kiwango chake cha kufikiria kipo juu. Hata kuajiriwa anatakiwa mtu anafikiria zaidi ili aweke mambo sawa. Hapo alipoajiriwa si kuna waliofaulu kuliko yeye ila wapo nje? Mjomba kamvuta pale.
 
Namjua mtu mmoja UDSM engineering wawekezaji walikuja chuo wakachua wanafunzi woote wa electrical, cpe na mechanical wakawafanyia inteview wenyewe mjini (international house). Results: highest score kulingana na vigezo vyao ilichukuliwa na mwanafunzi wa GENTLEMAN GPA. Kwenye ajira ni ulimwengu mwingine bro!
 
Back
Top Bottom