Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Sizungumzii kazi za kubeba mizigo.Nje ipi umeishi wewe?
Tupe mfano mmoja wa aliyekua na pass degree huko nje unakokusema then akashindwa kutoboa.
Labda unaongelea nje ya nyumba.Huo ujinga upo Tanzania tu, lakini huko Nje bila GPA kubwa, ufaulu mzuri hutoboi kizembe, haki ya mtu haiibwi, siwezi kutumia mtu mwenye ufaulu mdogo kwenye ofisi zangu.
Wapi mimi nimetaja kazi za kubeba mizigo?Sizungumzii kazi za kubeba mizigo.
Basi kumbe umenielewa vizuri,Wapi mimi nimetaja kazi za kubeba mizigo?
Bado uko kwenye ulimwengu wa makaratasi mzee, utakula hivyo vyetiBasi kumbe umenielewa vizuri,
Reference.
Joyce Msuya.
Nawengine wengi achana na wazamia ndege na meli
Toa tongotongo hizo kwenye macho yako mkuu.Basi kumbe umenielewa vizuri,
Reference.
Joyce Msuya.
Nawengine wengi achana na wazamia ndege na meli