King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wadada wa tumbo moja?
Ndio Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadada wa tumbo moja?
Sasa wewe Wastendi,si umshauri??Yaani huyu jamaa ana roho ngumu sana kaamua kuchanganya wote maana mdogo mtu ni mzuri kuliko dada mtu ila kinachoniuma mdogo mtu bado anasoma na kingine zaidi najiuliza endapo kwa bahati mbaya iwe sasa jamaa ni mwathirika sasa si atakuwa kashawamaliza dada na mdogo wake? Kingine namlaumu sana huyu dada kumtambulisha mdogo wake kwa jamaa.
Nyie wanawake kwenye mahusiano msipende kuwatuma wadogo zenu kwa shemeji yao kwani baadhi ya wanaume sio waaminifu.
Yaani huyu jamaa ana roho ngumu sana kaamua kuchanganya wote maana mdogo mtu ni mzuri kuliko dada mtu ila kinachoniuma mdogo mtu bado anasoma na kingine zaidi najiuliza endapo kwa bahati mbaya iwe sasa jamaa ni mwathirika sasa si atakuwa kashawamaliza dada na mdogo wake? Kingine namlaumu sana huyu dada kumtambulisha mdogo wake kwa jamaa.
Nyie wanawake kwenye mahusiano msipende kuwatuma wadogo zenu kwa shemeji yao kwani baadhi ya wanaume sio waaminifu.
Dada zangu niliozaliwa nao tumbo moja hapana aseeeee daaah! Binti wa shangazi au mjomba tu siwezi pita nae sembuse dada yangu wa damu moja!?
Hata awe kisu kama malaika hapana aseee binamu yangu namchukulia sawa na dada yanguHujakutana na binamu kisu na mchokozi
Watakuwa wamemzushia mkuu,hilo haliwezekaniNdio Mkuu.
Watakuwa wamemzushia mkuu,hilo haliwezekani
Wala siyo umbea dunia ina watu waajabu haijapata kutokea,mimi niliwahi kuona upuuzi kama huo,Tumeenda alipopanga jamaa yetu mara akaja mama wakaingia chumbani wakakaa wakatoka yule mmaza akaondoka,Haijafika nusu saa akaja bint..Acha umbea
Daaa tatizo hapa sio mpunga,tatizo ni hao dada zake, wangapi Wana mipunga lakini wanaheshimiana na dada zaoMkuu usicheze na mpunga ,ukiwa na mpunga halafu ukawa firauni unaweza ukalamba ukoo mzima.
Kama hawajui hiyo inawezekana,kila ntu analiwa kwa muda wakeWala siyo umbea dunia ina watu waajabu haijapata kutokea,mimi niliwahi kuona upuuzi kama huo,Tumeenda alipopanga jamaa yetu mara akaja mama wakaingia chumbani wakakaa wakatoka yule mmaza akaondoka,Haijafika nusu saa akaja bint..
Badaye jamaa linatuambia yule mama ayekuja na huyu bint mtu na mwanae kabisa Anawatafuna wote...!
KIUFI HAYO MATENDO YA QIYAMA HAKUNA JINGINE
Mwanamke akiamua jambo omba sana MungyHata awe kisu kama malaika hapana aseee binamu yangu namchukulia sawa na dada yangu
Eeeh tena bint yake mzuri huyo ila jamaa anawafanya wote na mama yakeKama hawajui hiyo inawezekana,kila ntu analiwa kwa muda wake
Maandiko yanakataza anakosea sanaEeeh tena bint yake mzuri huyo ila jamaa anawafanya wote na mama yake
AstakafurulahMkuu usicheze na mpunga ,ukiwa na mpunga halafu ukawa firauni unaweza ukalamba ukoo mzima.