Jamaa yangu ananuka mdomo sana. Nitumie njia gani kumfikishia ujumbe?

Jamaa yangu ananuka mdomo sana. Nitumie njia gani kumfikishia ujumbe?

Hapa kila mtu alimnunulia dawa rafiki au alikuwa na rafiki mwenye harufu ya mdomoni, sijasoma bado mwenye personal experience [emoji23][emoji23][emoji23]

Anyways ni somo zuri pia, huenda baadhi yetu hapa tumeshajifunza kitu, actually nimesikilizia harufu mda huu, hivi unaweza "kujisikilizia"?
[emoji1787][emoji1787] huwezi kujisikiliza mwenyewe unaweza kujipendelea bure
 
Kimbembe ni kwa mke wake kama anae, raia kama hao alale usiku mzima kabunda afu ile alfajiri aanze kuongea, wanawake mnavumilia mengi aiseeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake huvumilia mengi sana
 
Hayo ni maradhi kama maradhi mengine, kwahiyo usimwonee aibu mwambie ukweli ili aweze kupata tiba. Kwasababu watu wengi wanaokua na hilo tatizo huwa hawajisikii kama wanatoa harufu alafu kibaya zaidi wengi wao wanakuaga ni watu wanaopenda sana kuongea.
 
kuna mshkaj tulkua tuna soma nae jamaa n lkubwa darasa zima lakin linanuka mdomo hatar sku moja tukajchanga kama wa nne tukanunua colgate ile kubwa na miswak miwil tukamwekea kwenye beg bila kujijua alpokutana navyo kmsng alielewa madogo wameshindwa kunichana ila nanuka akawa msaf jino linangaa na mdomo ukaacha kunuka.. Somtime mtu ukjnusa yeye anaona yuko sawa ila kwa wengne n kero kwaio mkimwonyesha viashria flan ataelewa kama n mtu wa kujiongeza
 
Vipi na wale wenye mgando mgando sijui ukoko wa njano na kijani ivi (sidhani kama nishawahi kusikia anatoa harufu mbaya kinywani mana nipo nae mikoa tofauti)

Anaweza tumia nn kutoa na kuwa na meno clear bila izo ukoko???
1. Clinic ya Meno Wana mashine ya kubandua huo ukoko 120k tsh.

2. Atumie Hydrogen Peroxide 3% ndo kazi yake kuondoa huo ukoko. Anaweka kifuniko kimoja au 2 mdomoni Kisa anasukutua (ahakikishe isiende kooni) dk 5 Kisha anatema na kupiga mswaki kawaida vitabanduka. Kama ana uwezo anaweza kufanya Kila asubuhi na kabla ya kulala Kwa wiki Moja.

Apunguze Matumizi ya sukari na soda. Asukutue na maji safi Kila baada ya kutumia bidhaa zenye sukari.
 
Habari!

Ni mshkaji niliefahamiana nae mwaka jana na tuna miezi kama tisa kwenye urafiki, ila mdomo wake unatoa harufu mbaya tukiwa katika katika mazungumzo. Sijajua shida ni hapigi mswaki vizuri, huwa hapigi mswaki kabisa au anapiga kwa matukio.

Hii hali nilikuwa najitahid kuivumilia kwa kumkwepe kwepa akinielekezea mdomo lakini leo katika story za hapa na pale kuhusu mwenendo wa UEFA naona harufu imekuwa kali zaidi ikabid nipunguze stor ili maongezi yasiwe mengi sana.

Hali kama hizi huwa mnapambana nazo vipi? Maana naona aibu kumwambia ila natamani sana awe na kinywa kisicho na harufu, isitoshe sisi bado ni vijana kabisa.

Naomba Ushauri wenu wakuu.

Natanguliza shukrani.
Mnunulie tambuu mix pariki harufu itaisha
 
HV mm Kama mm nitajuwaje harufu ya mdomo wangu siyo nzuri nikiwa napiga mswaki Mara kwa mara
 
The only solution andiak memo acha mlangoni kwake ova
 
  • Thanks
Reactions: THT
Mimi nipo sensitive sana na harufu ya mdomo wangu kiasi hata kukiss hua najikagua mara mbili mbili kabla sijafanya hivyo.
 
1. Clinic ya Meno Wana mashine ya kubandua huo ukoko 120k tsh.

2. Atumie Hydrogen Peroxide 3% ndo kazi yake kuondoa huo ukoko. Anaweka kifuniko kimoja au 2 mdomoni Kisa anasukutua (ahakikishe isiende kooni) dk 5 Kisha anatema na kupiga mswaki kawaida vitabanduka. Kama ana uwezo anaweza kufanya Kila asubuhi na kabla ya kulala Kwa wiki Moja.

Apunguze Matumizi ya sukari na soda. Asukutue na maji safi Kila baada ya kutumia bidhaa zenye sukari.
Thanks much

Thanks much [emoji109][emoji109]
 
Back
Top Bottom