[emoji1787][emoji1787] huwezi kujisikiliza mwenyewe unaweza kujipendelea bureHapa kila mtu alimnunulia dawa rafiki au alikuwa na rafiki mwenye harufu ya mdomoni, sijasoma bado mwenye personal experience [emoji23][emoji23][emoji23]
Anyways ni somo zuri pia, huenda baadhi yetu hapa tumeshajifunza kitu, actually nimesikilizia harufu mda huu, hivi unaweza "kujisikilizia"?
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu sio poa![emoji1787][emoji1787] huwezi kujisikiliza mwenyewe unaweza kujipendelea bure
Mpe mtu io kazi ya kukusikiliza harufu[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu sio poa!
Wanawake huvumilia mengi sanaKimbembe ni kwa mke wake kama anae, raia kama hao alale usiku mzima kabunda afu ile alfajiri aanze kuongea, wanawake mnavumilia mengi aiseeh [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂Alafu watu wa hivi huwa wanalazimisha attention
Akiongea anasogea karibu ili umsikilize😂😂
1. Clinic ya Meno Wana mashine ya kubandua huo ukoko 120k tsh.Vipi na wale wenye mgando mgando sijui ukoko wa njano na kijani ivi (sidhani kama nishawahi kusikia anatoa harufu mbaya kinywani mana nipo nae mikoa tofauti)
Anaweza tumia nn kutoa na kuwa na meno clear bila izo ukoko???
Mnunulie tambuu mix pariki harufu itaishaHabari!
Ni mshkaji niliefahamiana nae mwaka jana na tuna miezi kama tisa kwenye urafiki, ila mdomo wake unatoa harufu mbaya tukiwa katika katika mazungumzo. Sijajua shida ni hapigi mswaki vizuri, huwa hapigi mswaki kabisa au anapiga kwa matukio.
Hii hali nilikuwa najitahid kuivumilia kwa kumkwepe kwepa akinielekezea mdomo lakini leo katika story za hapa na pale kuhusu mwenendo wa UEFA naona harufu imekuwa kali zaidi ikabid nipunguze stor ili maongezi yasiwe mengi sana.
Hali kama hizi huwa mnapambana nazo vipi? Maana naona aibu kumwambia ila natamani sana awe na kinywa kisicho na harufu, isitoshe sisi bado ni vijana kabisa.
Naomba Ushauri wenu wakuu.
Natanguliza shukrani.
Hahahahaha.... kweli vile auf wanapenda kuongea sanaaAlafu watu wa hivi huwa wanalazimisha attention
Akiongea anasogea karibu ili umsikilize[emoji23][emoji23]
We mtoto ni mwingi ujue [emoji3][emoji3][emoji3][emoji846][emoji846]Mchane tu.
Mwingi ndiyo nini ?We mtoto ni mwingi ujue [emoji3][emoji3][emoji3][emoji846][emoji846]
Thanks much1. Clinic ya Meno Wana mashine ya kubandua huo ukoko 120k tsh.
2. Atumie Hydrogen Peroxide 3% ndo kazi yake kuondoa huo ukoko. Anaweka kifuniko kimoja au 2 mdomoni Kisa anasukutua (ahakikishe isiende kooni) dk 5 Kisha anatema na kupiga mswaki kawaida vitabanduka. Kama ana uwezo anaweza kufanya Kila asubuhi na kabla ya kulala Kwa wiki Moja.
Apunguze Matumizi ya sukari na soda. Asukutue na maji safi Kila baada ya kutumia bidhaa zenye sukari.