Jamaa yangu ananuka mdomo sana. Nitumie njia gani kumfikishia ujumbe?

Mkuu nimepata hydrogen peroxide 6% nayo inafaa inatumikaje hii?
 
Mkuu nimepata hydrogen peroxide 6% nayo inafaa inatumikaje hii?
Hiyo 6% ni ya kutibu vidonda. Iweke ndani ikitokea umepata michubuko au kujikata unaapply kama Iodine au Methyleted spirit.

Ya kinywa ni 3%
 
Ivi mtu binafsi unaweza kujujua kuwa una Hilo tatizo la kunuka mdomo bila kuambiwa na watu?
 
Philips maeneo gan boss, nataka nimpeleke mtu
 
Pamoja na kusema ni ugonjwa wa kinywa mimi nimegundua watu wengi huwa wanadhani kupiga mswaki ni kung'arisha meno basi. Watu hawapigi mswaki kwenye ulimi na kwenye gums ambazo zinaficha vyakula na aina zote za mabaki. Ulimi una utando ukizidi kukaa sana unanuka sana.
Yawezekana rafiki yako anapiga meno haingii ndani kuchokonoa na hapigi gums na ulimi kutoa ukoko. Mimi naona angeanzia pale kama yumo humu anasoma huu uzi.
 
Reactions: THT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…