Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Asubilie tu kuambiwa akanunue jipya..!!Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa.
Matengenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
Ni kama zina mapepo fulani.Ndio tatizo la pombe za sikukuu
Pombe hazina shida. Wanywaji ndo wenye shida.Ndio tatizo la pombe za sikukuu
Mjinga jamaa Yako, sikukuu anaziona kwa miaka alipe m10!Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa.
Matengenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
Mimi sio wa hivyoJamaa yangu = Wewe
Friji mil 10 bora aende jela tuMjinga jamaa Yako, sikukuu anaziona kwa miaka alipe m10!