Jamaa yangu kapasua friji la TBL kwa hasira baa. Kioo chake kina gharama gani?

Jamaa yangu kapasua friji la TBL kwa hasira baa. Kioo chake kina gharama gani?

Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa.

Mate.ngenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
'Jamaa yangu' kapasua... Hiyo umeongea kikubwa, jamaa yako unayemuongelea ni nafsi yako, yaani aliyeyafanya hayo ni wewe mwenyewe.

Umeamka asubuhi wanakusamamba ulipe kwa matendo yako ya jana ukiwa mbwii!.

Na hayo makitu huwa hayana spare maalumu labda uende kwenye mitumba, sana sana hapo jiandae kulipa nzima, halafu hilo screpa ulichukue wewe.

Na friji za maana nikuanzia laki6 kuendelea.
 
Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa.

Matengenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
Ulevi ni ulevi ndiyo sababu hawaruhusu watoto kwani lolote linaweza kutokea, TBL wataweka kipya bila malipo kwani wao ndio waliomuuzia pombe ili alewe.
 
Hivi vinauzwagaee angalia asiambiwe anunue lipya
 
Back
Top Bottom