Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
kumbe!? wanamichezo jf kuanzia Leo Malinzi hataki mmuite janga mwiteni neema, na siyo hovyo Bali ni kiongozi bora kuwahi kutokea...Ni mengi. Ila kwa kawaida kukariri tusi ni kutukana pia. Lakini mtu anapodhalilisha kabila lako hadi ukoo wako kwa sababu tu wewe ni kiongozi uliyeamua kinyume na matarajio yake, utasema hajakutukana? Unapoanzisha uzi kwa hiari yako ili wadau wakuhoji, nao wakakuita majina na kukupa sifa za kudhalilisha (useless [[HASHTAG]#1104[/HASHTAG]], MAANDAZI [[HASHTAG]#1061[/HASHTAG]], Janga la Taifa [[HASHTAG]#1074[/HASHTAG]], Janga la Kimataifa [[HASHTAG]#1086[/HASHTAG]], mpuuzi ..... hovyo kabisa [[HASHTAG]#1090[/HASHTAG]]) na mengine zaidi ya hayo, utasema hujatukanwa?
hapo lazima likes hii post..