Kama wewe unafuatilia mwenendo wa soka letu kabla na baada ya Malinzi kuwa kiongozi nadhani usingeuliza huu urojo wako hapa but kwa kuwa unaendeshwa na chuki,wivu na ukabila hautaona mambo mazuri aliyofanya na atakayoendelea kufanya awamu yake ya pili.Sina maneno mengi nauliza tu umesahau kitu gani mpaka uwanie uongozi tena ? Endelea na biashara zako ni muda muafaka wa kuifanyia soko letu tohara .
Jamal Malinzi it's a time now to quit no more.
Nakala waione wapenda mabadiliko wote katika michezo .
Huo ni wivu na chuki dhidi ya Malinzi na hatuwashangai ndio msimu wenu huu kipindi hiki.Vijembe gani mkuu ? Hivi huyo jamaa amefanya kitu gani katika soka letu ? Yaani yupo pale for personal interest, ni muda muafaka kwake kuondoka.
Hivi unakumbuka kipindi kile anagombe a tafuta na uzi upo hapa jukwaani tulimpigia kampeni ila kwakua amearibu inabidi tumpinge kwa nguvu zote , tulitegemea angeleta neema na ahueni ila kilichotokea Ni aibu he should go.Kama wewe unafuatilia mwenendo wa soka letu kabla na baada ya Malinzi kuwa kiongozi nadhani usingeuliza huu urojo wako hapa but kwa kuwa unaendeshwa na chuki,wivu na ukabila hautaona mambo mazuri aliyofanya na atakayoendelea kufanya awamu yake ya pili.
Mkuu hilo ni tatizo, lakini tatizo lingine kubwa sana ni kuwa sijaona hata mgombea mmoja anayeweza angalau kufikia alipofikia Tenga.. naona wote ni wale waleSina maneno mengi nauliza tu umesahau kitu gani mpaka uwanie uongozi tena ? Endelea na biashara zako ni muda muafaka wa kuifanyia soko letu tohara .
Jamal Malinzi it's a time now to quit no more.
Nakala waione wapenda mabadiliko wote katika michezo .
Wakati uchaguzi mkuu wa FIFA unakaribia baada ya Joseph Blater kuenguliwa watu waliuliza itakuaje ile taasisi bila mtu kama yule ila kwa sasa Inflantino ameonyesha kila kitu kinawezekana pale karume hawabebi zege bali mikakati tu mkuu.Mkuu hilo ni tatizo, lakini tatizo lingine kubwa sana ni kuwa sijaona hata mgombea mmoja anayeweza angalau kufikia alipofikia Tenga.. naona wote ni wale wale
Na kulinda sheria 17 za soka kuwa Mpira wa miguu unachezwa na matokeo yake kuamuliwa uwanjani na si mezani.Kuipa yanga ubingwa tena..
Hawezi kuleta neema kwenye mifuko yenu nyie mliotegmea fadhila kwa ushindi wake,neema pekee atakayoleta ni maendeleo ya soka la Tanzania na mfano ameshaonyesha kwa Serengeti Boys.Hivi unakumbuka kipindi kile anagombe a tafuta na uzi upo hapa jukwaani tulimpigia kampeni ila kwakua amearibu inabidi tumpinge kwa nguvu zote , tulitegemea angeleta neema na ahueni ila kilichotokea Ni aibu he should go.