Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hata wewe pia kama unataka upigwe katerero mtafute.Kasahau kipiga katetero wafagizi wa ofisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe pia kama unataka upigwe katerero mtafute.Kasahau kipiga katetero wafagizi wa ofisi
Hao wanasumbuliwa na wivu wa ukabila na si jingine.Kigogo tafadhali kwa nini unadhalilisha hivi. Kwani Malinzi amekukataza kuchukua fomu.
Wahaya wana haki ya kuchangia maendeleo ta nchi hii. Wamechangia maendeleo ya nchi kwenye sexta za kupigania HAKI ta mau mweusi kujitawala mf TAA na TANU. pia kwenye sekta ya afya, elimu, utawala n.k kabla ta uhuru na baada uhuru.
Kama alivyompiga katerero mama yako na liuchi lake kama beseniHata wewe pia kama unataka upigwe katerero mtafute.
Kabla hajawa hapo TFF alikuwa nakula kwa wakwe zako kama wewe?Asipogombea unataka akale polisi?
Teh teh teh mchezo huu hauhitaji hasira......na mbado......Kama alivyompiga katerero mama yako na liuchi lake kama beseni
hii tff ina double standars sanaNa kulinda sheria 17 za soka kuwa Mpira wa miguu unachezwa na matokeo yake kuamuliwa uwanjani na si mezani.
Uwanjani pale Mkwakwani Tanga.hii tff ina double standars sana
Matokeo ya nusu fainali ya FA
Coastal Union Vs Yanga yaliamuliwa wapi?
Nimeona tu nikupuuze. Jibu ambalo ningekupa, usingerudi tena humu JF...Kabla hajawa hapo TFF alikuwa nakula kwa wakwe zako kama wewe?
Hiyo serengeti mnampa sifa za bureHawezi kuleta neema kwenye mifuko yenu nyie mliotegmea fadhila kwa ushindi wake,neema pekee atakayoleta ni maendeleo ya soka la Tanzania na mfano ameshaonyesha kwa Serengeti Boys.
Kwani mlimtuma afanye nini?Sina maneno mengi nauliza tu umesahau kitu gani mpaka uwanie uongozi tena ? Endelea na biashara zako ni muda muafaka wa kuifanyia soko letu tohara .
Jamal Malinzi it's a time now to quit no more.
Nakala waione wapenda mabadiliko wote katika michezo .
Ataje walichomtuma awafanyie wakati wanamchagua.Ngoja nisubr vijembe kwenye huu uzi
Ni kweli mlimpigia kampeni na akashinda amekuwa rais wa tiefuefu!Hivi unakumbuka kipindi kile anagombe a tafuta na uzi upo hapa jukwaani tulimpigia kampeni ila kwakua amearibu inabidi tumpinge kwa nguvu zote , tulitegemea angeleta neema na ahueni ila kilichotokea Ni aibu he should go.
Kwanza hiyo Nusu fainali ya FA kati ya Yanga na Coastal ilipigwa mwaka gani maana kwa kumbukumbu ni Yanga na Mbao.hii tff ina double standars sana
Matokeo ya nusu fainali ya FA
Coastal Union Vs Yanga yaliamuliwa wapi?
Umenikuta hapa JF na wewe ndio utaondoka na utaniacha hapa,kwa hiyo chagua kunyoa au kusuka. Kwa hiyo mnatumia hii platform kutukana na kudhalilisha watu ambao mnajua kabisa hawawezi kuwajibu hapa then mkijibiwa na watu wengine kwa niaba yao mnakasirika na kuleta vitisho?Nimeona tu nikupuuze. Jibu ambalo ningekupa, usingerudi tena humu JF...
Kweli mwaAfrika hana aibu na shukurani kabisa kwa hiyo kila zuri analofanya Malinzi mnapokonya na kuwapa watu wengine lakini yale mabaya ni yake yote bila kujali kayakuta au wengine ndio wamesababisha?Hiyo serengeti mnampa sifa za bure
Malinzi amekuta programm za vijana teyari za Copa Coca Cola na Airtel Raising Star ndio zilizopelekea kuundwa Serengeti boys iliyo imara vile
Na bado yeye ndio kaiharibu kwa poor managment yake
Badala ya kujikita kwenye technical issues wanapeleka waganga Gabon
Haya sasa Mchezaji mmoja wa serengeti boys kaibukia kwenye Ndondo cup...wale vijana ata unajua wapo wapi baada ya kutoka Gabon?
Kweli mwaAfrika hana aibu na shukurani kabisa kwa hiyo kila zuri analofanya Malinzi mnapokonya na kuwapa watu wengine lakini yale mabaya ni yake yote bila kujali kayakuta au wengine ndio wamesababisha?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app