Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hao bado hujawafahamu wanataka Malinzi angewafanyia nini?eti kwa kuwa walimpigia kampeni hapa walitaka Malinzi awakumbuke kwenye ufalme wake kwa kuwalipa fadhila mifukoni mwao na si kufanya haya maendeleo ya soka anayoyafanya. Kama unakumbukumbu sawa mwaka mmoja tuu Malinzi alipokuwa madarakani ndipo hawa wanaojitapa kumpigia kampeni hapa walianza kumsakama kwa maneno haya haya kwa hiyo usishangae huu ni mwendelezo tuu hawajaanza leo.Ni kweli mlimpigia kampeni na akashinda amekuwa rais wa tiefuefu!
Semeni mlimtuma akacheze mpira?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app