Jamal Malinzi ni kitu gani umekisahau pale Karume hadi ugombee tena ?

Ni kweli mlimpigia kampeni na akashinda amekuwa rais wa tiefuefu!
Semeni mlimtuma akacheze mpira?
Hao bado hujawafahamu wanataka Malinzi angewafanyia nini?eti kwa kuwa walimpigia kampeni hapa walitaka Malinzi awakumbuke kwenye ufalme wake kwa kuwalipa fadhila mifukoni mwao na si kufanya haya maendeleo ya soka anayoyafanya. Kama unakumbukumbu sawa mwaka mmoja tuu Malinzi alipokuwa madarakani ndipo hawa wanaojitapa kumpigia kampeni hapa walianza kumsakama kwa maneno haya haya kwa hiyo usishangae huu ni mwendelezo tuu hawajaanza leo.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Tutafikia hatua kwa kukosoa kwetu kuanzia uwanjani hadi tff kama tunasema marefa hawawez nakutaka baadhi ya mechi kuchezeshwa na marefa wa nje basi sitoshangaa kuona hata TFF ije iongozwe na viongozi wa nje kwa kuwa wa ndani tulio nao either ni simba au ni yanga hivyo watakuwa ni km kina Malinzi.
 
Ni kweli mlimpigia kampeni na akashinda amekuwa rais wa tiefuefu!
Semeni mlimtuma akacheze mpira?
Siyo kucheza mpira mkuu kiongozi lazima uwe na dira na Maono ya kiutendaji vinginevyo wewe hufai kuongoza.
 
shikamoo Frank wanjiru, Mungu tusamehe wa Tz tuliokua tunaamini kuwa waha ndo wabishi tukamsahau huyu jamaa, tusamehe sana haturudii tena kusema vitu bila utafti wa kutosha
 
Kwani mlimtuma afanye nini?
Orodhesha mliyomtuma utaje na ilani mliyomkabidhi.
Ataje walichomtuma awafanyie wakati wanamchagua.
Mkuu ukiwa kiongozi lazima uwe na mipango kabambe ya kuhakikisha kuwa soka linapaa katika uso wa dunia huyo jamaa alichofanya mpaka sasa hamna,

Kumbuka kwa sasa mpira ni biashara timu ya Taifa ina wadhamini bado wanapata gawio toka FIFA kwanini asitumie japo akili ya kujiongeza kusuka timu ya wapanga mikakati ili kuboresha maendeleo ya soka letu.

Yaani ukabila na undugu bila kusahau ukanda ni tatizo kubwa katika maendeleo yoyote.
[HASHTAG]#malinziMustQuit[/HASHTAG].
 
Hao bado hujawafahamu wanataka Malinzi angewafanyia nini?eti kwa kuwa walimpigia kampeni hapa walitaka Malinzi awakumbuke kwenye ufalme wake kwa kuwalipa fadhila mifukoni mwao na si kufanya haya maendeleo ya soka anayoyafanya. Kama unakumbukumbu sawa mwaka mmoja tuu Malinzi alipokuwa madarakani ndipo hawa wanaojitapa kumpigia kampeni hapa walianza kumsakama kwa maneno haya haya kwa hiyo usishangae huu ni mwendelezo tuu hawajaanza leo.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi anikumbuke kwa lipi atanisaidia nini huyo jamaa labda mawazo ila siyo pesa ninazo zinanitosha !

Jamal Malinzi alikua na team yake humu jamvini tena walitaka kumuengua kumbuka kipindi kile watu walishachoka akina Tenga basi wakaungana kumpigia kampeni huyo jamaa ebu angalia ata ID yake kuwa alianza kuwa member lini utakuta kipindi hicho hicho.

Sometime hizi anonymous ID zinafanya tunadharauliana sana hapa jamvini mi Leo nimeombe hela kwa Malinzi ili iweje ?

GENTAMYCINE Masunga Maziku Jr okwi boban sunzu Masuke na wengine njooni huku.
 
shikamoo Frank wanjiru, Mungu tusamehe wa Tz tuliokua tunaamini kuwa waha ndo wabishi tukamsahau huyu jamaa, tusamehe sana haturudii tena kusema vitu bila utafti wa kutosha
Mtu yeyote akifanya jambo jema kwa manufaa ya watu wengi lazima apewe sifa zake na mtu huyo huyo akichafuliwa na watu wachache wanaotaka kulipwa fadhila mifukoni mwao lazima watu wenye mapenzi mema tuwakemee hadharani.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ukiwa kiongozi lazima uwe na mipango kabambe ya kuhakikisha kuwa soka linapaa katika uso wa dunia huyo jamaa alichofanya mpaka sasa hamna,

Kumbuka kwa sasa mpira ni biashara timu ya Taifa ina wadhamini bado wanapata gawio toka FIFA kwanini asitumie japo akili ya kujiongeza kusuka timu ya wapanga mikakati ili kuboresha maendeleo ya soka letu.

Yaani ukabila na undugu bila kusahau ukanda ni tatizo kubwa katika maendeleo yoyote.
[HASHTAG]#malinziMustQuit[/HASHTAG].
Ni mara ngapi Malinzi kwa kushirikiana na kamati ya utendaji ya TFF wanawekaga mipango yao hadharani hususani kwa timu za Taifa Stars na ile ya Vijana. Baadae wanaokuja kuwaangusha ni wachezaji uwanjani,je mlitaka Malinzi na kamati yake waingie uwanjani wecheze labda ndio maana mnamtaka Mayai ili ikifikia hatua kama hii awe anaingia uwanjani na kucheza?. TFF imejitahidi sana kuja na mikakati mbalimbali yakuendeleza soka letu kwa program na mipango mbalimbali za vijana ambayo kwa muda mchache na mrefu ujao utaleta tija sana kwenye soka letu hii ni baada ya kuona kuwa wachezaji hawa wa sasa wa Taifa Stars hakuna sehemu watakapotufikisha sababu hawana misingi mizuri ya soka.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mimi anikumbuke kwa lipi atanisaidia nini huyo jamaa labda mawazo ila siyo pesa ninazo zinanitosha !

Jamal Malinzi alikua na team yake humu jamvini tena walitaka kumuengua kumbuka kipindi kile watu walishachoka akina Tenga basi wakaungana kumpigia kampeni huyo jamaa ebu angalia ata ID yake kuwa alianza kuwa member lini utakuta kipindi hicho hicho.

Sometime hizi anonymous ID zinafanya tunadharauliana sana hapa jamvini mi Leo nimeombe hela kwa Malinzi ili iweje ?

GENTAMYCINE Masunga Maziku Jr okwi boban sunzu Masuke na wengine njooni huku.
Hao wote unaowaita hapa kuja kukusaidia ndio walewale waliotegemea fadhila za Malinzi mifukoni mwao baada ya kumpigia kampeni hapa,kwa hiyo hawana jipya. Malinzi anafanya maendeleo ya soka letu hadharani kabisa na wala sio gizani na matokeo yake yataonekana hadharani muda mchache ujao. Kwa hiyo nyie endeleeni na vita yenu dhidi yake but wapiga kura wanafahamu kazi yake anayoifanya.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ukiwa kiongozi lazima uwe na mipango kabambe ya kuhakikisha kuwa soka linapaa katika uso wa dunia huyo jamaa alichofanya mpaka sasa hamna,

Kumbuka kwa sasa mpira ni biashara timu ya Taifa ina wadhamini bado wanapata gawio toka FIFA kwanini asitumie japo akili ya kujiongeza kusuka timu ya wapanga mikakati ili kuboresha maendeleo ya soka letu.

Yaani ukabila na undugu bila kusahau ukanda ni tatizo kubwa katika maendeleo yoyote.
[HASHTAG]#malinziMustQuit[/HASHTAG].
Mkuu kachukue form ugombee Urais halafu ukishashinda jaza maswahiba wako,kabila lako na watu wa kanda yako kama unaona hilo jambo ni rahisi sana kama unavyolihubiri hapa.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Siyo kucheza mpira mkuu kiongozi lazima uwe na dira na Maono ya kiutendaji vinginevyo wewe hufai kuongoza.
Chama ni cha wanachama kww maslahi ya wadau, hili halina ubishi.

Wenye chama mlipotangaza nafasi ya uongozi mlitaka kiongozi mtakayemchagua awaongeze kuelekea wapi (mlitaka atekeleze jukumu lipi? Maana kama ni kuongoza tu alimradi aongoze basi hakuna mnachoweza kumchukia nacho Jamal Malinzi)
 
Mkuu ukiwa kiongozi lazima uwe na mipango kabambe ya kuhakikisha kuwa soka linapaa katika uso wa dunia huyo jamaa alichofanya mpaka sasa hamna,

Kumbuka kwa sasa mpira ni biashara timu ya Taifa ina wadhamini bado wanapata gawio toka FIFA kwanini asitumie japo akili ya kujiongeza kusuka timu ya wapanga mikakati ili kuboresha maendeleo ya soka letu.

Yaani ukabila na undugu bila kusahau ukanda ni tatizo kubwa katika maendeleo yoyote.
[HASHTAG]#malinziMustQuit[/HASHTAG].
Mkuu usikwazike na swali ninalokwenda kukuuliza.

Kwa kuwa una kiu ya kuona mpira wetu unakua kwa kiwango cha akina Messi na Ronado imekuwaje mwanao umemuacha anakata viuno akudo sound?

Unataka nani acheze? Au unataka Jamali amchukue na Dioniz awe kipa na ndugu zake wengine wawe viungo na mabeki wapatiemo na washambuliaji ndio wakawashinde wakameroon?

Kwa nini hutaki kujikubali kuwa uwezo wa uchezaji wetu ni viwango vya Juma Nyoso?

Otherwise eleza mlitaka Jamali Malinzi afanye nini ambacho hajafanya.

Habari ya "kupaisha mpira" kwenye steji za mzee yusufu labda inawezekana.
 
Back
Top Bottom