Jamal Malinzi ni kitu gani umekisahau pale Karume hadi ugombee tena ?

Hao wanasumbuliwa na wivu wa ukabila na si jingine.
 
Bora tu aje agombee Hashim Rungwe tujue moja tu
 
Na kulinda sheria 17 za soka kuwa Mpira wa miguu unachezwa na matokeo yake kuamuliwa uwanjani na si mezani.
hii tff ina double standars sana
Matokeo ya nusu fainali ya FA
Coastal Union Vs Yanga yaliamuliwa wapi?
 
Hawezi kuleta neema kwenye mifuko yenu nyie mliotegmea fadhila kwa ushindi wake,neema pekee atakayoleta ni maendeleo ya soka la Tanzania na mfano ameshaonyesha kwa Serengeti Boys.
Hiyo serengeti mnampa sifa za bure
Malinzi amekuta programm za vijana teyari za Copa Coca Cola na Airtel Raising Star ndio zilizopelekea kuundwa Serengeti boys iliyo imara vile
Na bado yeye ndio kaiharibu kwa poor managment yake
Badala ya kujikita kwenye technical issues wanapeleka waganga Gabon
Haya sasa Mchezaji mmoja wa serengeti boys kaibukia kwenye Ndondo cup...wale vijana ata unajua wapo wapi baada ya kutoka Gabon?
 
Kwani mlimtuma afanye nini?
Orodhesha mliyomtuma utaje na ilani mliyomkabidhi.
 
Hivi unakumbuka kipindi kile anagombe a tafuta na uzi upo hapa jukwaani tulimpigia kampeni ila kwakua amearibu inabidi tumpinge kwa nguvu zote , tulitegemea angeleta neema na ahueni ila kilichotokea Ni aibu he should go.
Ni kweli mlimpigia kampeni na akashinda amekuwa rais wa tiefuefu!
Semeni mlimtuma akacheze mpira?
 
Nimeona tu nikupuuze. Jibu ambalo ningekupa, usingerudi tena humu JF...
Umenikuta hapa JF na wewe ndio utaondoka na utaniacha hapa,kwa hiyo chagua kunyoa au kusuka. Kwa hiyo mnatumia hii platform kutukana na kudhalilisha watu ambao mnajua kabisa hawawezi kuwajibu hapa then mkijibiwa na watu wengine kwa niaba yao mnakasirika na kuleta vitisho?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kweli mwaAfrika hana aibu na shukurani kabisa kwa hiyo kila zuri analofanya Malinzi mnapokonya na kuwapa watu wengine lakini yale mabaya ni yake yote bila kujali kayakuta au wengine ndio wamesababisha?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Huyu mzee amekosa mshipa wa aibu wallahi, na watu wasivyomuelewa lakini bado yumo tu.
 
Tunamtaka Ally Mayai aurudishe mpira wetu tumechoshwa na wapiga dill
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…