Jamal Malinzi, Rais wa TFF Kujiuzulu

Aliandika Atafika saa nane Alfajili siyo usiku mkuu
 
Hivi huyo Makinzi yupo wapi mbona kapiga kimya sana? Au alikuwa Zanzibar kukusanya viingilio? Tumsubiri, timu yake ya Yanga imeshatolewa labda ataongea kitu.
 
Hata mm nilikuwa najiuliza hivi Hawa TFF wako wapi wanashindwa na boss wao nape kaonyesha ushirikiano lkn wenyewe yako kimya tuu km hawaoni umuhimu wa hip tuzo,viongozi wa TFF tunaomba mjiuzulu kwa hiari kabla wananchi hatujachukua reaction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…