WAIKORU
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,586
- 2,454
puuuuuu...harufu yake sasa....utafikiri mzoga wa fisiMtamkumbuka sana ndolanga hili shuzi limekosa mjambaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
puuuuuu...harufu yake sasa....utafikiri mzoga wa fisiMtamkumbuka sana ndolanga hili shuzi limekosa mjambaji
Fisi kasingiziwa... Utafikiri uha.r wa shogapuuuuuu...harufu yake sasa....utafikiri mzoga wa fisi
Aliandika Atafika saa nane Alfajili siyo usiku mkuuHakuna uzembe na upuuzi mkubwa kama uliofanywa na TFF wakiongozwa na Jamal Malinzi...
Mbwana Samata katutoa kimasomaso watanzania. Ni mchezaji pekee kutoka Tanzania kupata tuzo kama hii... Cha ajabu TFF hawakuona umuhimu huo na kuacha kijana huyo kuwasili usiku wa saa nane bila mapokezi yoyote...
Je TFF ilishindwa nini kubadilisha tiketi hata kama imelipwa na CAF?... Mwesiga ulienda kufanya nini Abuja kama ulishindwa kufanya mipango midogo kama hii?
Bila aibu, Jamal Malinzi anaandika kwenye twirter eti Samata anafika saa nane usiku... Gabon wamefanya mapokezi makubwa sana kwa kijana wao na kumpa motisha... TFF wenyewe wako kimya wanagombania tu fedha za kiingilio...
Kwa hili lazima tuseme wazi, huyu Malinzi ni jipu. Na maramia "bora" Tenga angefanya jambo la maana.... Nashukuru sana watanzania kwa kukemea hatua hiyo pamoja na kumtaka Malinzi na Mwesiga wajiuzulu au wangolewe....
Kama mdau wa soka, ninatoa wito kwa Jamal na Mwesiga Kujiuzulu. Nawapa siku 14. Kama watakuwa hawajajiuzulu, nitaaitisha maandamano yasiyo na kikomo....
na mimi nimemkumbuka aisee.Ajiuzuli arudi ChitChat. Tumemmisi sana Bishanga kwenye mapambano ya kuwagombea wachuchu wa MMU.
nitakutumbua wewe mlevi. ohooMimi ni muadilifu mpenzi. Kama ambavyo sijawahi kukusaliti enzi ya penzi letu.
Tulia dogo...nitakutumbua wewe mlevi. ohoo
mazoea mshindo yatakuponzaTulia dogo...