Kama kocha ni Mimi naenda nao kutegemea na mechi kama isingekuwa option ya mtoa mada ningeenda nao wote, Jude namtupa CM(kama director au box to box) na Jamal namtupa AM(kama advanced playmaker) free role...Jude nitamset acheze kama regista or director huyu atanisaidia kudirect timu offensively kama achezavyo toni kroos au box to box huyu Jude ataweza mana ana energy, combativeness anayo, defensive yuko vizuri, scoring ability pia anayo...Jamal nitaenda nao kama timu inacheza zaid possessive football ni mzuri coz ana skills nyingi mguuni hasa ubunifu akiwa na mpira, dribbling yuko vizuri ila ukabaji na energy hamzidi Jude...kama timu ni ya kanyaga twende mchakamchaka naenda na Jude huyu Hana mambo mengi akipata moja anaitoa kwenye nafasi tunakimbia haraka.