Jamal Musiala Vs Jude Bellingham unaenda na nani?


Jude alikuwa anaibeba BVB? Dah muna lugha za hatari sana
 
Mkuu ujue kunakuwaga na Central midfielder ambaye huwa anccheza nane au sits lakini majukumu tofauti


Ndiyo huyo central midfielder kwani holding midfielder unaelewa vipi?
Ndio huyo sasa

Holding midfields ni Dm defending modified, kw akibongo ni fild ya kuzuia, Central ni midfield ya kati anaweza kuwa anachezesha au pia kuzuia, ambao wao huwa wanaitwa Box to Box
 
Musiala ni Copy ya akina Messi, David SIlva
JUde ni copy ya Kevin Prince Boateng

Ni vitu viwili tofauti, Musiala ni fundi wakati huyu mwengine anacheza kwa kubahatisha
 
macho yako huwa yanaona nini uwanjani? Jude alipotea mechi nzima akiwa naruka ruka tu huku Musiala alikuwa anawakokota tu mabeki.
Sasa utamlinganisha mchezaji wa kung'aa mechi moja na mchezaji anaefanya vizuri msimu mzima? Wote ni AM lakini aina yao ya uchezaji ni tofauti. Kwangu Jude ni bora zaidi.
 
Holding midfields ni Dm defending modified, kw akibongo ni fild ya kuzuia, Central ni midfield ya kati anaweza kuwa anachezesha au pia kuzuia, ambao wao huwa wanaitwa Box to Box
Sasa je

Si ndio sasa mwamba anabisha hapo
 
Sema haka ka musiala dizaini kama kanatushawishi hivi wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…