sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,665
abarini zenu? naombeni mnipokee nyie, huwa naingia sana kama guest, ila kuna wakati natamani kuchangia nakua nashindwa.. naombeni msiniite masalia, gwanda wala magamba mimi sio mshabiki wa vyama ila napenda sana wanajf akili zenu ndio nyie nawashabikia. naombeni mnipokeeni mie mwenzenu.:smiling: