jaman amjambo?

jaman amjambo?

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,665
abarini zenu? naombeni mnipokee nyie, huwa naingia sana kama guest, ila kuna wakati natamani kuchangia nakua nashindwa.. naombeni msiniite masalia, gwanda wala magamba mimi sio mshabiki wa vyama ila napenda sana wanajf akili zenu ndio nyie nawashabikia. naombeni mnipokeeni mie mwenzenu.:smiling:
 
Karibu Jf mkuu, pita jukwaa la chit chat kuna mashindano ya miss chit chat wa mwaka 2012, mpigie kura Arabela
 
Last edited by a moderator:
abarini zenu? naombeni mnipokee nyie, huwa naingia sana kama guest, ila kuna wakati natamani kuchangia nakua nashindwa.. naombeni msiniite masalia, gwanda wala magamba mimi sio mshabiki wa vyama ila napenda sana wanajf akili zenu ndio nyie nawashabikia. naombeni mnipokeeni mie mwenzenu.:smiling:

Nakuomba ubonyeze hapo chini kwenye maandishi bluu halafu mpigie kura dada mrembo wa JF anayeitwa charminglady...natanguliza shukrani
INGIA HAPA KUPIGA KURA
 
Back
Top Bottom