Jaman jkt itasababisha watu kukosa chuo

Jaman jkt itasababisha watu kukosa chuo

Adam1992

Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Jaman hiv serikali ina mpango gani na wanafunzi wenzetu ambao wapo jkt maana kuna watu majina yao yalikuwemo katika wale waliokosa first round lakini hawakutaarifiwa ili wafanye selection na yametoka tena ili wafanye selection lakin hawajui lolote sasa hawa wakirudi mtaani si kilio tu
 
Ila nimesikia kwa baadhi ya wale ambao wapo depo wanawatumia ndugu zao kuwafanyia michakato yote yakuapply unaionaje hyo? Kama vipi supply maujanja hayo.
 
ndio unaweza mtumia ndugu yako bt kama picha na sahh bodi ya mkopo itakuwaje na je mambo yanafanywa kwa wakati!
 
Mfumo huu wa 2nd na 3rd round unaitwa first come first served it means anayewahi ndo anapata kuchagua faculty aipendayo! Tunajua vijana wamenyang'anywa simu jeshini kwa hivyo si rahisi kupata taarifa mapema wengi wamekuwa wakipiga simu kwa kificho ficho huku wakiwa wameweweseka kwa kweli this is so unfair!!! May be kuna mpango maalum wa kuwafanya watu washindwe kuomba ili serikali ipunguze gharama mwa huu wa fedha!!! MUNGU WALINDE WANAO MUNGU WALINDE WANANCHI WAKO WA TANZANIA!!!
 
kule jkt hata hawajalii ucpokuwaa makini unabaki hv hv ktaaa after jkt! Ulizia walioenda intake ya kwanza matokeo yao waliyapata kwa njia za panyaa, pia hata hawa wa awamu ya pili wanatusumbua tuu tuwafuatiliee inshuu zaoo! In short kule ni majangaa tuu ucpokuwa mjanjaa unapoteaaa
 
kuna jamaa yangu jina lake lilitoka second round akaagiza wamfanyie na kakosa tena!
 
Jaman hiv serikali ina mpango gani na wanafunzi wenzetu ambao wapo jkt maana kuna watu majina yao yalikuwemo katika wale waliokosa first round lakini hawakutaarifiwa ili wafanye selection na yametoka tena ili wafanye selection lakin hawajui lolote sasa hawa wakirudi mtaani si kilio tu

Ndugu,Majina yanapotoka huwa wanabandikiwa kule jeshini na hurudishiwa simu kwa muda.
 
Mpango ni hivi taharifa hizo walipewa na wakarudishiwa simu kwa muda wa week nzima wawataharifu ndugu zao au watu wao wa karibu wawafanyie application for second round clear
 
Hiv jaman mnaosema walirudishiwa hiv mnalijua jeshi nyie jeshi halina utaratibu wa dizaini hiyo tuulize ss tulioenda first round shida tuliyoipata
 
Jaman hiv serikali ina mpango gani na wanafunzi wenzetu ambao wapo jkt maana kuna watu majina yao yalikuwemo katika wale waliokosa first round lakini hawakutaarifiwa ili wafanye selection na yametoka tena ili wafanye selection lakin hawajui lolote sasa hawa wakirudi mtaani si kilio tu

Wale watakaokosa kwa sababu ya JKT wakaze buti waiburuze serikali mahakamani. Kuna wanasheria wengi wanaweza kuwatetea. Serikali ilinzisha JKT bila kujipanga na kufikiria athari mbalimbali. Ilitakiwa iwasiliane na vyuo vyote na kuvimba vifungue January 2014 ili kutoa nafasi ya TCU kufanya udahili usio na haraka haraka.

Mimi ni mmojawapo wa watu ninaoamini kuwa mafunzo ya JKT kwa vijana wetu ni kitu chema ila kwa hili la kuwachanganya na kuwanyima fursa ninalipinga kwa nguvu zangu zote.

CC: Sospetergideon; JOSEPH SAKI; millz; Darius; luofe; Dixon Divox; AllenMwita; DENIS 72;
 
Ila nimesikia kwa baadhi ya wale ambao wapo depo wanawatumia ndugu zao kuwafanyia michakato yote yakuapply unaionaje hyo? Kama vipi supply maujanja hayo.

kuna wengine wazazi wao wapo porini huko,hawanunui gazeti wala hawana radio,computer ndo majanga
 
Serikari yetu ina mapungufu,ya uwezo wa kufikiri jambo au tukio la mbele,
 
Back
Top Bottom