miss strong linga kubhaketa, mbhuke mufijinja mukwenda kughu, aseee...!Moyo ukiruka kichura ndo utazid kuniwaza......tubhuke mfijinja Baba V
Unasubiriwa huko christine ibrahim we chelewa chelewa teh teh!!!!!
mie nampenda Ritz natamani awe anakuja huku MMU sema ye yuko siasani mda wotee
Nipigie simu
Heaven on earth wewe si mke mtarajiwa au?mie nampenda Ritz natamani awe anakuja huku MMU sema ye yuko siasani mda wotee
Kama unaisoma thread hii christine naomba uniPM naupenda sana msimamo wako unaonekana unafaa sana. Tafadhar christine ni pm moyo wangu uridhike
Tina, mwenzio kakutunuku. Je, umesham-PM?
Heaven on earth wewe si mke mtarajiwa au?
Simplicity mbona unazidi kunichanganya mwenzioHapana, ni force of attraction btn two bodies:
♥ = GM_1M_2/R^2
Nshapata shemeji mieee!!!!
Kama unaisoma thread hii christine naomba uniPM naupenda sana msimamo wako unaonekana unafaa sana. Tafadhar christine ni pm moyo wangu uridhike
Heheheee! Christine ! Ucjesema tena ooh! Sitongozwi cpati mchumba hayaaa mambo hadharaniii! Tena mgiriki ! Yani siyo mtanzania huyooo! Hutaki kukwea pipa wewe?
Heaven on earth: Akijua Mr. Perfect wako, unalo!hahaa hata kama,hii hainizuii kumpenda Ritz,
siku hizi nimekuwa nalipenda jukwaa la siasa kisa yeye,mapenzi haya
@ Heaven on earth: Akijua Mr. Perfect wako, unalo!
...loi Nimeamini kuwa sifa mojawapo ya KE nikujua jinsi ya kuwapanga ME, ili magari yasigongane...
Heaven on earth ni PM ili niamini kweli iwe siri yangu mimi na wewe and I shouldn't tell anybody!hii ibaki kuwa siri yangu mimi na wewe,DONT tell anyone
Na sifa ya me!?