Jaman kuna nampenda sana Christine wa jf

Jaman kuna nampenda sana Christine wa jf

Duh!hili jukwaa mbona linanibamba huku unaweza pata mke/mume asap!!
 
Kama unaisoma thread hii christine naomba uniPM naupenda sana msimamo wako unaonekana unafaa sana. Tafadhar christine ni pm moyo wangu uridhike


Sorry if magadog turn round and bite you!!!!!!!!
 
...loi Nimeamini kuwa sifa mojawapo ya KE nikujua jinsi ya kuwapanga ME, ili magari yasigongane...
 
Heheheee! Christine ! Ucjesema tena ooh! Sitongozwi cpati mchumba hayaaa mambo hadharaniii! Tena mgiriki ! Yani siyo mtanzania huyooo! Hutaki kukwea pipa wewe?

Shost, yaani ht cjiulizi...bahati haiji mara 2...maana ukijiuliza tu,'hakuna rangi utaacha ona'
 
Back
Top Bottom