Jaman kuna nampenda sana Christine wa jf

Jaman kuna nampenda sana Christine wa jf

Nashukuru Christine amenipa ushirikiano kule PM. Sasa wewe uliyeleta hii mada tusisumbuane tukigongana huko street
 
Duuuh......kwaio kumbe ukimbwela kwenye PM watu wanapaste huku unageuka laughingstock? Msala huu, hata hivo huu mziki wa wa playback ni mbwembwe tu, mziki bwana live band. Mme meet town yami yami garden restaurant mkuu akiagiza wale kuku wa buku 25 af mkuu una buku 30 kamili hukawii kumsaidia yule fundi viatu pale nje kupiga kiwi viatu. Live band achana nayo kabisa!
 
Back
Top Bottom