Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Duh!hili jukwaa mbona linanibamba huku unaweza pata mke/mume asap!!
spidi yako tu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!hili jukwaa mbona linanibamba huku unaweza pata mke/mume asap!!
...mmmM!
Ha haaaa, weka no. hapahapa
nipe mautundu umemwambia nini pm,na mimi siku Heaven on earth akiniambia nimpm nisibaki kung'aa machopm kuna jam ...tumalizane hapa hapa ...teh teh
Namba hapa, dah si itakuwa majanga? Nipe option.
Christine wa JF ndio nani?
Halafu wewe ndiye mwenye shida halafu unataka ndio uwe wa kwanza kuandikiwa PM...mbona hujiamini hivyo?
Hii mbona imekuwa chap chap sana
Ha haaaa km nakuona ulivyofurahi...kwhyo nimkubali aliyeanza? Maana kuna simplicity hapa
Hii mbona imekuwa chap chap sana
Nashukuru Christine amenipa ushirikiano kule PM. Sasa wewe uliyeleta hii mada tusisumbuane tukigongana huko street
Bunge litakaa kama kamati na vifungu kujadiliwa