Jaman kuna nampenda sana Christine wa jf

Jaman kuna nampenda sana Christine wa jf

Hongera.
Mie Ritz angekuwa si shemeji yangu, ningem-beba, btw ndio hvo tena.
Ila nitakuunganishia, ondoa shaka.
Mie niko na ZeMarcopolo tu.
Sijui huyu kijana kanipa nini!
Kha, mpaka najishangaa.
Hebu ninyamaze mie.
Love-is-Blind-1198.jpg
 
jaman dada! Nmekumithijee, wakati ukifika tutakuja kukusaidia kupiga kampeni, salam kwa shem wangu nambary moko saanane!!

Shem wako anakusikia hapa, yuko pembeni yangu ananichezea nywele hapa.
Hata nami nitakumiss.
 
Kumbe hata mijitu ya Ciciem inajua kupenda ee, sishangai S W kuibuka na h on earth humu.
 
Back
Top Bottom