Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Hongera.
Mie Ritz angekuwa si shemeji yangu, ningem-beba, btw ndio hvo tena.
Ila nitakuunganishia, ondoa shaka.
Mie niko na ZeMarcopolo tu.
Sijui huyu kijana kanipa nini!
Kha, mpaka najishangaa.
Hebu ninyamaze mie.
Madam B ukiniunganishia kwa huyo kijana haki ya mama
Ben Saanane kura yangu na familia yangu 2015 anayo.
Last edited by a moderator: