Jaman kuna nampenda sana Christine wa jf

Jaman kuna nampenda sana Christine wa jf

Hongera.
Mie Ritz angekuwa si shemeji yangu, ningem-beba, btw ndio hvo tena.
Ila nitakuunganishia, ondoa shaka.
Mie niko na ZeMarcopolo tu.
Sijui huyu kijana kanipa nini!
Kha, mpaka najishangaa.
Hebu ninyamaze mie.

Madam B ukiniunganishia kwa huyo kijana haki ya mama

Ben Saanane kura yangu na familia yangu 2015 anayo.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ww unampenda wakat mm ndo nmempenda ulikuwa wap sk zote

Mie napenda kila mtu, hata hivyo wewe umeandika unampenda Christine wa Jf mie nikasema nampenda christine ibrahim. Kwani kumpenda mmoja sote kuna ubaya mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom