i love u too Eli79
ukiwa na hela nisake tule
maraha!!pacha Lady doctor
nimempa masharti makali eli
mpaka awe na hela ndio nimfikirie!!
Lady doctor kam zis wei...
i love u too Eli79
ukiwa na hela nisake tule
maraha!!pacha Lady doctor
nimempa masharti makali eli
mpaka awe na hela ndio nimfikirie!!
Mic u mingi ma dear PL
nikifikiri wewe ni king, kumbe queen bwana.... We m'miss tu hamna shida!
Passion Lady hana mzuka na mzuka na shemale, anataka mwanaume wa nguvu.mi ni shemale! Shaurilo!
passion lady hana mzuka na mzuka na shemale, anataka mwanaume wa nguvu.
wasiliana naye kupitia kweye email yake ya jf. This is a private issue. Should not be posted here. It is a wastage of space and time.
i love u too eli79
ukiwa na hela nisake tule
maraha!!pacha lady doctor
nimempa masharti makali eli
mpaka awe na hela ndio nimfikirie!!
Hongera.
Mie Ritz angekuwa si shemeji yangu, ningem-beba, btw ndio hvo tena.
Ila nitakuunganishia, ondoa shaka.
Mie niko na ZeMarcopolo tu.
Sijui huyu kijana kanipa nini!
Kha, mpaka najishangaa.
Hebu ninyamaze mie.
Heaven on earth,mie nampenda Ritz natamani awe anakuja huku MMU sema ye yuko siasani mda wotee
jaman dada! Nmekumithijee, wakati ukifika tutakuja kukusaidia kupiga kampeni, salam kwa shem wangu nambary moko saanane!!
My wii mbona sasa hujatangaza nia?!Nipo hapa mdogo wangu mpenzi beibe nasty, si unajua majukumu kusaidiana!
Hvo namsaidia shemejio Ben Saanane tunyakue jimbo mojawapo 2015!
Nawakumbuka sana wadogo zangu, wewe Queen Kan, miss strong na wifi Chocs.
shem wako anakusikia hapa, yuko pembeni yangu ananichezea nywele hapa.
Hata nami nitakumiss.
Nitafutieni wa kunibembeleza
i love u too Eli79
ukiwa na hela nisake tule
maraha!!pacha Lady doctor
nimempa masharti makali eli
mpaka awe na hela ndio nimfikirie!!
Lady doctor kam zis wei...
hatimaye my dream lady is in love with moi.. Passion Lady unachitaka utapata we sema tu jioni nikirudi nipitie maduka ya wahindi..