Jaman kuna sisi ambao tunarudi shule mnatuambiaje?

Wengi tunasemaga ivyo ila ukifika form 3 mambo yanabadilika. Hisia zinaposhindana na matamanio. Kaza buti elimu ndio kila kitu
Namshukuru mungu form three sija haribu na atanisaidia kumaliza pia, ntakaza buti kujisaidia mana mungu ana msaidia mtu anae jisaidia asante
 
Ilo ndo jambo la muhimu pia ili kujiwekea nafasi ya kuelewa asante
 
Jf imekuwa ya vitoto haina hata mvuto.eti f4 kipo jf? Aisee
 
Kasome tu dogo ila ukimaliza shule utakuta mabandiko pendwa huku JF yote yamepigwa ban.Naona tisiaraei wanatuangalia tu kwa jicho la husda
 
Masomo mema..kazingatie Sana elimu.

Kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…