karibu tangaWalahi nami nitatafuta mpenzi kutoka tanga maana si kwa sifa nizisikiazo.
tumeridhia hatuna neno sie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpk nashangaliwa hapaNaomba urudishe simu ya ukhuty haraka iwezekanavyo
umeonaeewe tisha sana binam
ngoj nitamwambia dada mkubwa umeungwa kweny udugu wetu kuanzia leo cc mwifwa hajar Duvet udugu umeongezeka kuanzia leoNipe process nianze kuzifata
karibu tanga
Nashukuru kwa ukarimu wenu,ila chonde chonde msijenifanya nikapasahau nyumbani jamanitumeridhia hatuna neno sie
najifunza kuimba dada usinichekHahahaaa. Lol.
hatutakufanyia hivyo karibu uduguni kwetuNashukuru kwa ukarimu wenu,ila chonde chonde msijenifanya nikapasahau nyumbani jamani
Shukrani sana,kuanzia Leo naanza kujifunza kidigo,kizigua,kisambaa na kabila gani lingine vile?hatutakufanyia hivyo karibu uduguni kwetu
hahha kibondei karibu tena mwayaShukrani sana,kuanzia Leo naanza kujifunza kidigo,kizigua,kisambaa na kabila gani lingine vile?
Zamani nilikua nikiona watoto wa kike ndio wanakata viuno pindi wachezapo ngoma au mziki, ila siku hizi hawa wanyoa viduku ndio wakatikaji wakuu huku watoto wa kike wakibaki kuwashangaa tu.Kwanin mkuu
Huko ni dar na ngoma zao za singeliZamani nilikua nikiona watoto wa kike ndio wanakata viuno pindi wachezapo ngoma au mziki, ila siku hizi hawa wanyoa viduku ndio wakatikaji wakuu huku watoto wa kike wakibaki kuwashangaa tu.
Nimesha karibia binamHahahaaa. Binamu we karibu tu bwana.
karibu sana binamuNimesha karibia binam
Kesho kuwa nitakuwa huko kikazi karibu waja Leo warudi yakheNimepamiss sana Raskazone, Msambweni, Chumbageni, Segera, Muheza, Lushoto, Korongwe....
Dada zangu wa ki TA huwa pesa sio kipaumbele, wao ni utu fikiria cha kumpa,magugume ya Dar ukiomba namba ya simu, uta Iblock mwenyewe,shida zote zahamia kwako.Sijui alikuwa anaishije kabla ya kukukuta weweZidi tu kusisimkwa Mkuu sababu ndio ukweli huo. Yaani sie huwa hatuombi pesa bali mtu anajikuta anatoa kwa moyo wake mweupeeeee. Teh teh.
Uuuuuuuuwi punguza ukali wa lugha kuna watoto bado wanaharufu ya maziwa humuAiseeh!
Malizia wakarimu ,unasahau tena neno muhimu hiliUwiiii. Bila kumuacha nyuma mbalizi1 aende naye akaone Tanga yetu ilivyo na watu wa tofauti kabisaaaaa.
Hahaaa. Ndio hapo sasa ila wana mioyo yao na pia huwa najionea wengi hawana mapenzi ya kweli zaidi ya kupenda Pochi.Dada zangu wa ki TA huwa pesa sio kipaumbele, wao ni utu fikiria cha kumpa,magugume ya Dar ukiomba namba ya simu, uta Iblock mwenyewe,shida zote zahamia kwako.Sijui alikuwa anaishije kabla ya kukukuta wewe