Jaman kweli Tanga raha!

Jaman kweli Tanga raha!

Zamani nilikua nikiona watoto wa kike ndio wanakata viuno pindi wachezapo ngoma au mziki, ila siku hizi hawa wanyoa viduku ndio wakatikaji wakuu huku watoto wa kike wakibaki kuwashangaa tu.
Huko ni dar na ngoma zao za singeli
 
Zidi tu kusisimkwa Mkuu sababu ndio ukweli huo. Yaani sie huwa hatuombi pesa bali mtu anajikuta anatoa kwa moyo wake mweupeeeee. Teh teh.
Dada zangu wa ki TA huwa pesa sio kipaumbele, wao ni utu fikiria cha kumpa,magugume ya Dar ukiomba namba ya simu, uta Iblock mwenyewe,shida zote zahamia kwako.Sijui alikuwa anaishije kabla ya kukukuta wewe
 
Hahaaa. Ndio hapo sasa ila wana mioyo yao na pia huwa najionea wengi hawana mapenzi ya kweli zaidi ya kupenda Pochi.

Ila ahsante sana kwa sifa. [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom