mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,559
Walahi nami nitatafuta mpenzi kutoka tanga maana si kwa sifa nizisikiazo.haha yaan tanga ndo home
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walahi nami nitatafuta mpenzi kutoka tanga maana si kwa sifa nizisikiazo.haha yaan tanga ndo home
AiseeHizi ni tofauti mkuu,hizi miksa kuvua nguo kiongozi.
Nasikia wapiga ngoma sometimes huwa wanagoma kupiga ngoma mpaka wapatiwe warembo wawagegede ndio ngoma iendelee.
Tanga kuna mengi mkuu.Aisee
Naomba urudishe simu ya ukhuty haraka iwezekanavyotarataraaaa tarararaaaaa tarariraaaa hatanikisema[emoji445] wengine wataniponda sisemiii nao sisemi naoo mimi sisemi nao mashilawadu sisemi nao sisemi nao macho kuona najua hutoniamini chungulia utaona [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji108] [emoji108] [emoji108] mwanangu natirika waueeeeeeee
Naona yanajidhihitisha yenyewe tu hapaTanga kuna mengi mkuu.
Hao wala sidhani kama wataniwekea pingamizi lolote,wasi wasi wangu ni kwako huenda usiende kuitekeleza hiyo project tarajiwa mkuu.
Hiyo itakamilikakama kawaida usipate shaka kwa hiloHao wala sidhani kama wataniwekea pingamizi lolote,wasi wasi wangu ni kwako huenda usiende kuitekeleza hiyo project tarajiwa mkuu.
Ndio wanavikata sasa, ngoja wakiwa mapumziko watakuja kukujibu mkuu.Nyie wadada wa tanga viuno kama feni mbovu mmejifunzia wap ?
we tisha sana binamtarataraaaa tarararaaaaa tarariraaaa hatanikisema[emoji445] wengine wataniponda sisemiii nao sisemi naoo mimi sisemi nao mashilawadu sisemi nao sisemi nao macho kuona najua hutoniamini chungulia utaona [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji108] [emoji108] [emoji108] mwanangu natirika waueeeeeeee
Hapo sawa mkuu.Hiyo itakamilikakama kawaida usipate shaka kwa hilo
Wakijibu nishtue kamandaWanawake wa uko Tanga hivi huwa wanaomba pesa Kama hawa wengine??
Nakusalimia tu mkuuWakijibu nishtue kamanda
Nipe process nianze kuzifatahaha itabidi uombe kadi ya uwanachama
Hahahaaaa. Wasiwasi wako tu bana.hahaha eti zisinitishe, wkt nshamuona mikononyuma kashadata kwako mapema kabla hata hajafika huko tanga, siku akija nadhani hatorud kbs
Hahahaaa. Sio siri binamu unajua kujiongeza. Basi sawa nakuachia mgeni huyo akija uwe mwenyeji wake. Tehamna binam namuonea kuruma uyo mshkaj mana ukimtembeza wew utamfanya asahau kwao.
Hahaaaa. Sio kweli bana rafiki.Hizi ni tofauti mkuu,hizi miksa kuvua nguo kiongozi.
Nasikia wapiga ngoma sometimes huwa wanagoma kupiga ngoma mpaka wapatiwe warembo wawagegede ndio ngoma iendelee.