BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
chapa lapa,hakuna kitu hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakupendi huyo sema anakutumia kama kipoozeo cha siku anakopenda kukizinguaNina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel mapnz yapo kwel hapo,?
Lakini ni swali la msingi! Kwani jamaa akimfukuzia walikuwa hawawasiliani? Does she talk to him about anything? Do they talk of the future?
anakuzingua tu,achana naye sasa hapo kuna future gani kama hajui wajibu wake
Nina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel mapnz yapo kwel hapo,?
mmh, Mrembo, kwani jamaa anaiba au ndiyo kitu yake original...
Nina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel mapnz yapo kwel hapo,?
yani wewe mtu anamuhitaji tu wakati wa tukio??kweli hapo kuna kitu....hamna kabisa atakuwa anaiipeleka nje hyo
sasa si ndyo muda ambao anahitaji service yake zaidi jamani....
Nina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel mapnz yapo kwel hapo,?
Hiyo ni hatari sana.. Lakini na wewe dada kwa nini usimkalishe chini mkayaongea...Ukiona habadiliki ujue hakufai huyo..
Nina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel mapnz yapo kwel hapo,?
mmmh asante kwa kunijuza hilo..nyie ni "friends with benefits"-mwenzio analijua hilo-ila wewe inaonyesha hulijui
kujitambua ni hatua kwanza... she should know what she is worth, then she will realise whether she is being treated right or not...