- Thread starter
- #81
k'nimekupata ctoruhusu kupumzikiwa tenahamna mapenzi hapo anakupumzikia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
k'nimekupata ctoruhusu kupumzikiwa tenahamna mapenzi hapo anakupumzikia tu
mwanzon nilkuwa nampigia ila kwa sasa nimeachia ngaz cmpigii wala kumtext,mpaka cku aamue yy kunitext na hujikuta na reply text zake au kupokea cmu zake,ila stil vtu anavyotaka hapo ni hvyo hvyo.Wewe je unampigia au unangojea hadi hiyo siku ya ku du?
Ha,ha,ha,ha,haaaa muulize gwaride analolipata hapa,fuull mautam,madogo hawayawezi maujanja hayo!
hujikuta na reply text zake au kupokea cmu zake,ila stil vtu anavyotaka hapo ni hvyo hvyo.
mwanzon nilkuwa nampigia ila kwa sasa nimeachia ngaz cmpigii wala kumtext,mpaka cku aamue yy kunitext na hujikuta na reply text zake au kupokea cmu zake,ila stil vtu anavyotaka hapo ni hvyo hvyo.
mmmmh! napita tu!asante Eiyer me nimewaona tangu mwanzo we mwache!
amwombe mungu ktk uasherati!?