jaman nna tatzo la tumbo kujaa gesi sana mwaka wa pili

Mkuu hiyo hali ilinitokea ila sio kwa kipindi kirefu. Labda una vidonda vya tumbo au bacteria wanaitwa H,pylori wanaoweza kusababisha vidonda vya tumbo kwa asilimia kumi. Mi nilienda hospitali flani dar. Nenda kacheki
 
nlienda hosp wakaniambia nnao maambukiz ya h. paylor nikapewa heligo kit lakin hakuna mafanikio yyte
 
halaf nikila nyama au chines au wali ndoinakuwa shida zaid
 
Mkuu hiyo hali ilinitokea ila sio kwa kipindi kirefu. Labda una vidonda vya tumbo au bacteria wanaitwa H,pylori wanaoweza kusababisha vidonda vya tumbo kwa asilimia kumi. Mi nilienda hospitali flani dar. Nenda kacheki
mkuuyan nateseka hata soda sinywi
 
nlienda hosp wakaniambia nnao maambukiz ya h. paylor nikapewa heligo kit lakin hakuna mafanikio yyte
Dah pole ila mimi nilipewa hpylori kit, au triple therapy saivi namshukuru Mungu naendelea vizuri,ila ni gharama sana
 
kwa hyo mkuu umepona kabisa? mana mm hiyo heligo nimetumia kama box tatu bila mafanikio kabisa
 
Au unashinda bila kula mda mrefu?!cheki vyakula unavyokula check typhoid usitumie magnesium au alugel zinaleta constipation
 
halafu alugel ndo natumia sana aise ndo inanisaidia kidogo ila nikila wal au nyama au vtu vya vwandan kama soda hvi ndo shda kabisa yan
 
Back
Top Bottom