Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuuyan nateseka hata soda sinywiMkuu hiyo hali ilinitokea ila sio kwa kipindi kirefu. Labda una vidonda vya tumbo au bacteria wanaitwa H,pylori wanaoweza kusababisha vidonda vya tumbo kwa asilimia kumi. Mi nilienda hospitali flani dar. Nenda kacheki
Dah pole ila mimi nilipewa hpylori kit, au triple therapy saivi namshukuru Mungu naendelea vizuri,ila ni gharama sananlienda hosp wakaniambia nnao maambukiz ya h. paylor nikapewa heligo kit lakin hakuna mafanikio yyte
Nahisi kitu kwako, nipmmkuuyan nateseka hata soda sinywi
Umtumie private message,bonyeza hicho kipicha au jina lake(ID )utaona sehem ya kuandika pmsamahan mm nimgen huku mtu anaposema ni pm anakuwa na maana gan?
kwa hyo ndgu unaendeleaje sa hvi?Dah pole ila mimi nilipewa hpylori kit, au triple therapy saivi namshukuru Mungu naendelea vizuri,ila ni gharama sana
kwa hyo mkuu umepona kabisa? mana mm hiyo heligo nimetumia kama box tatu bila mafanikio kabisaDah pole ila mimi nilipewa hpylori kit, au triple therapy saivi namshukuru Mungu naendelea vizuri,ila ni gharama sana
hospital nlishaenda mkuu ndo nkapewa hyo heligo bila mafanikionenda hospitaly ukapime boya wewe endelea kufuga maradhi upate kansa
Mkuu mimi sijatumia heligo wala siijui. Mi nimetumia H.pylori KITkwa hyo mkuu umepona kabisa? mana mm hiyo heligo nimetumia kama box tatu bila mafanikio kabisa
hizo h pylor kit ndo zikoje mkuu? naomba intro kidogoMkuu mimi sijatumia heligo wala siijui. Mi nimetumia H.pylori KIT
Ushaambiwa m pm !! Khaaaa.hizo h pylor kit ndo zikoje mkuu? naomba intro kidogo
halafu alugel ndo natumia sana aise ndo inanisaidia kidogo ila nikila wal au nyama au vtu vya vwandan kama soda hvi ndo shda kabisa yanAu unashinda bila kula mda mrefu?!cheki vyakula unavyokula check typhoid usitumie magnesium au alugel zinaleta constipation