Wanazingua hawa nakumbuka shambani nafanya kazi kwa kuvizia na wakija group wanakanyaga ufuta an fujo daah huzuni kazi uliyofanya miezi wao wanaharibu siku Moja tuJaman sis wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana yaan kutwa nzima untembea na tembo hadi unaona kero,watu wanajiongeza wanalima bustani ili wajiajiri tembo wanakuja kula mazao yote na kuharibu mazao mengne
Serikali inatakiwa ichukue hatua mapema make vijana tunaweza kuchukulia kam fursa make sasa wamezidi ni mwaka wa tatu huu tunahangaika tunaomba serikal iziondoe hukuView attachment 3651589View attachment 3651589View attachment 3651590
View attachment 3651591
Mpo karibu na mbuga?Wanazingua hawa nakumbuka shambani nafanya kazi kwa kuvizia na wakija group wanakanyaga ufuta an fujo daah huzuni kazi uliyofanya miezi wao wanaharibu siku Moja tu
Hamieni sehemu ya mbali na hifadhi.NO sio kwamb tumeidh karibu nao ila wao ndo wanatoka hifadhi
Hameni, binadamu mna eneo kubwa sana la kuishi, waachieni Tembo na wanyamapori wengine hilo eno kidogo.u
Hapo ndo shida inapoanzia sasHameni, binadamu mna eneo kubwa sana la kuishi, waachieni Tembo na wanyamapori wengine hilo eno kidogo.
ROSTAM AZIXI KAKUTUMA ILI APATE SABABU YA KUPORA MALI ZA UMMA?Jaman sis wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana yaan kutwa nzima untembea na tembo hadi unaona kero,watu wanajiongeza wanalima bustani ili wajiajiri tembo wanakuja kula mazao yote na kuharibu mazao mengne
Serikali inatakiwa ichukue hatua mapema make vijana tunaweza kuchukulia kam fursa make sasa wamezidi ni mwaka wa tatu huu tunahangaika tunaomba serikal iziondoe hukuView attachment 3651589View attachment 3651589View attachment 3651590
View attachment 3651591