Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana

Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana

Hayo maeneo zamani zilikuwa njia za tembo, enzi ni mapori. Wao wana tabia ya kuendelea kuitumia njia kizazi hadi kizazi, kuna msimu lazima waonekanebmaeneo hayo wakipita.

Sasa miaka iluvyosonga miji ikatanuka, watu nao wakazidi kujenga au kulima maeneo hayo. Matokeo nao wanakuja kupita kama kawaida, inaonekana ni wamevamia.

Ukiona eneo kila msimu fulani lazima waje elewa ilikuwa njia yao hiyo na watarudi tu. Kama walikuja mara moja tu wakaondoka basi ndiyo uvamizi. Ila kila mwaka wanaonekana basi hapo ni sehemu yao, wanadamu ndiyo wamechukua

Mfano wa kuvamia uliwahi kutokea kijijini udigoni ambapo ndiyo asili ya ukoo wetu. Basi kule walivamia kutoka Kenya waliharibu biashara ya nazi yote ya maeneo hayo kwa kuvunja minazi yote. Tena wakawa wanaimeza nazi nzima na kuinya kama ilivyo. Hawakuwahi kurudi tena

Mfano wa wao kurudi kwenye njia zao za asili ni UDOM, Rombo na maeneo mengine wanapoonekana kila mwaka
 
Jaman sis wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana yaan kutwa nzima untembea na tembo hadi unaona kero,watu wanajiongeza wanalima bustani ili wajiajiri tembo wanakuja kula mazao yote na kuharibu mazao mengne
Serikali inatakiwa ichukue hatua mapema make vijana tunaweza kuchukulia kam fursa make sasa wamezidi ni mwaka wa tatu huu tunahangaika tunaomba serikal iziondoe hukuView attachment 3651589View attachment 3651589View attachment 3651590
View attachment 3651591
Tafadhali naomba kufahamu ni wilaya gani na kijiji gani na mazao gani ya wanakijiji yamekuwa yakoharibiwa
 
Back
Top Bottom