Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Habari za mchana wakuu.
Bila kupoteza muda naenda kwenye mada husika.
Imekuwa kawaida sana hususan sisi wabongo(wengi wetu)kuwachukulia waiter au waitress watu wakawaida sana wanapokuwa kazini mwao haijalishi ni hotelin,bar au restaurant.
Kwanini ninayasema haya...jana nilikuwwa nimekaa sehemu mimi na rafiki yangu tukibadilishana.meza ya jirani yetu alikuwa mkaka na mdada wamehudumiwa vizuri na waiter mwisho wa siku wakalipa bill yao nafikiri chenji ilibaki,yule jama akachukua pesa zingine akampa waiter 500,waiter alichokifanya ni kuichukua ile hela akamrudishia mwenye aliempa tip akamwambia,asante sana kwa tip lakini siwezi kuichukua"
Kaka akaanza kulalamika watu wengine bhana yani unampa mtu pesa anakataa...akasonya kisha akaondoka.
Tukabaki mimi na shosti wangu alichonisimulia ndicho kilichonifanya kuanzisha huu uzi.
"Akaniambia kwamba alikuwa na mpenzi wake kama sio waiter basi angekuwa marehemu mda mrefu sanaaaa..kivipi!kumbe jamaa(mpenzi wa rafiki yangu)alikuwa na maadui wanaomfuatilia mda mrefu,wakachunguza wakajua sehemu anakopendelea kwenda sana kula.wakamfuata waiter wakampa pesa then wakamwekea sumu kwenye maji ya jamaa aliyekuwa akiwindwa wakamwambia kampe anywe.
Waiter akafika mezana akagawa vinywaji kama kawaida mtu anaewindwa akawa wa mwisho kufunguliwa maji na kuwekewa kwa glass.
Waiter akaanza kuchukua order ya chakula kwa anaetakiwa.wakati anachukua order,akawa anamwambia huyo anaetakiwa kunywa hayo maji yenye sumu kuwa,"usinywe hayo maji yanasumu"jifanye kama unayanywa lakini plz usiyatie mdomon utakufa".nafikiri jamaa alikuwa anajijua kuwa ana maadui akavunga kabisa kama vile hakuna taarifa aliyoipata.
Hiyo ndo ikawa pona yake.nafikiri huyu mjomba alikuwa anaishi na hao waiter na waitress vizuri.
Unapoenda sehemu kama hizo bar hotel au restaurant tujitahidin kuwaheshimu sana waiter &waitress kama wafanyakazi wengine wa ofisin.hata kama huwezi kumpa cash kama asante basi angalau umuheshimu na kumpa japo asante ya heshima.
Asanteni.