Jaman tuwaheshimu waiter/waitress tunapokuwa bar,hotelini au restaurant.

Mada yako ni nzuri japo nimeshindwa kung'mua ni kwa nini unasema yule Jamaa aliyetoa shs 500 alimdharau yule mhudumu wakati mhudumu ndiye alimdharau kwa kutokupokea ile 500.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waitress akikosa mzigo tutaheshimiana sana tena sanaa...
 
Sehemu nyingine hawaruhusu wafanyakazi kupokea tips zozote kutoka kwa wateja.
Thanks mama. Mleta mada hakuweka hiyo taarifa.

Ila huo ni upuuzi. Sehemu nyingi ambazo hawaruhusu waiter mmoja mmoja kuchukua tip, huwa wana basket tip. Hii ni sehemu ambapo tip zote zinaingia na baadaye wote wanagawana pasu kwa pasu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ww unafanya Bar ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa hakujiongeza Ila haikuwa sababu ya kumtukana kwa sababu waitress hakuikataa kwa dharau au kejeli.
 
Kuna muhudumu wa hotel alimuokoa jamaa mmoja alifika pale hotel akaa kama wiki,kumbe kuna majambazi wanamfatilia ,yule muhudumu aliwasikia mipango yao akamshutua jamaa akahama kimya kimyaa

Ni vizuri kuwapa tip kwa nia njema maana jamaa alikuwa akimpa tip yule dada na akamuokoa na alikuja jua wale watu ni wa karibu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah toka mwaka juzi sijawahi timba Bar wala kwa mama Ntilie baada ya kusimuliwa yanayotendeka huko ili kuattrack customers, so what I do just buy my staff and have fun with it at my gheto. Pamoja na tipsi huko tunalishwa uchafu wa ajabu sana.
 
Wengine ma - under cover mkuu.. asante kwa kushare experience yako ila mkuu narudia wengine ni maspy ukimzngua viroba vya coco beach vitahusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kun autaratibu wa kufungua maji kabisa kabla ya kumfikia mteja?

🤔🤔
Iko hivi,mimi si ndo nitakaekuletea vinywaji(kwa mfano)naweza kufungua nikaweka ya kuweka na usijue nikaja mezan nikakuwekea glass nikajifanya nayafungua kumbe tayari nishafungua mda mrefu na hujui
 
Mada yako ni nzuri japo nimeshindwa kung'mua ni kwa nini unasema yule Jamaa aliyetoa shs 500 alimdharau yule mhudumu wakati mhudumu ndiye alimdharau kwa kutokupokea ile 500.

Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha hivi..kwenye zile bill kuna sehemu ya kuweka tip na mara nyingi huwa ni ten % ya kile ulichokitumia tufanye umetumia 100000 tip ni 10000 lakini hata ukimpatia 5000sio mbay kwa waiter (wazungu wanalielewa hili).tufanye hivi chenji iliyobaki ni 9500 eti uchukue 9000 umwachie waiter 500,aiseeh hapana ni bora uchukue chenji yote umuachie bill folder leupe(kama kunawaiter au waitress yuko huku anaelewa hiki ninachokisema hapa)

Hii imeingiliana na ishu ya mtu kutaka kuuliwa kupitia maji kivipi,huyo mshkaji alikuwa anapendelea kwenda hapo na pia anajua kuishi na waiter vizuri(tip)ingekuwa ndie yule mtu wa kuchukua chenji 9000kuacha 500 si angefanyiwa ushenzi tu waihiiiii....

Umenielewa japo kidogo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…