Jamani asiwadanganye mtu — kuokoka ni kutamu!

mie sijaokoka ila nipo katika Ufalme wa Mungu YEHOVA MUNGU NA KRISTO WAKE
Mmh, ni lazima uokoke kwanza ili uingie katika ufalme wa Mungu. Nafikiri hujaijua vizuri maana ya kuokoka. Tafadhali soma taratibu uzi huu:
 

  • Walokole tafuteni kitu kingine cha kuongelea.. nyie kila saa ni uchawi na mapepo.
Sio kweli kwamba kila saa tunazungumzia uchawi na mapepo. Mie nime-post mada nyingi humu za kijamii, za kisiasa, za kibiashara, za kifamilia nk. Ila leo ni siku maalum ya kumpaka matope shetwani. Ni siku ya kuwafumbua macho watu kwamba kuokoka ni "kutamuuu"
  • Ingekuwa magonjwa yanatoweka kwa kukemea basi walokole wote msingekua mnaenda hospitali.
My friend. Kuna walokole wengi sana hawaendi hospitali, ila huwezi kujua kwa sababu wewe huendi kwenye makanisa ya kilokole wanapotoa shuhuda za uponyaji wa magonjwa. Na sio walokole wote wanaitumia JF.
Hata hivyo kwenda hospitali sio dhambi. Ukiponea hospitali, bado tu Mungu anatukuzwa kwa sababu Yeye ndiye aliyeumba ubongo wa madaktari. Mungu ndiye aliyeumba hata hizo chemicals/medicines zinazotumika kutibu watu.
 
It is a peculiar irony that in the vast expanse of human expression, you have elected to inhabit a one-word vocabulary — and yet wield it as though it were an unassailable axiom. Alas, repetition is no substitute for reason, and echoing 'Rubbish' ad infinitum does little more than immortalize your own intellectual inertia
 
Unabii umetimizwa:
Mt 24:5
Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
 
Nani kakudanganya hivyo? Kila siku unahukumu wakati hukumu ni haki ya Mwenyezi Mungu peke yake
Dhamiri yako mwenyewe ndiyo inayokuhukumu. Mimi nimeshuhudia tu yale niliyoyaona katika maisha yangu ya wokovu.
 
Magonjwa hayaangalii ulokole. Huo ujinga uliojilisha akilini mwako achana nao.
 
Magonjwa hayaangalii ulokole. Huo ujinga uliojilisha akilini mwako achana nao.
Uko sahihi, hujakosea. Ni kweli magonjwa hayaangalii ulokole. Hata mimi sijasema kwamba walokole hawapatwi na magonjwa, wanaugua, lakini Mungu anatuangalia walokole na kutuponya magonjwa yetu yote.
Zab 103:3
Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote
 
Kabisa uko sahihi ila kuokoka huku ukiwa na mahaba kindakindaki na chama CCM ni kazi bure
 
 

Attachments

  • THANK_YOU_FATHER_⭕⭕⭕__#olumba_#everyonehighlightsfollowers_#calaba...THANK_YOU_FATHER_⭕⭕⭕__#ol...mp4
    4.4 MB
Kabisa uko sahihi ila kuokoka huku ukiwa na mahaba kindakindaki na chama CCM ni kazi bure
Mm, mimi napiga Injili hapa bana. Mambo ya siasa peleka huko kwenye jukwaa lenu la siasa.
 
Tahadhari: Mafundisho ya O. O. O. yanatofautiana sana na mafundisho yanayokubalika, ya Kikristo. Wanaomshabikia wanaweza kupotea kiroho kwa sababu wanamwacha Yesu Kristo na kumsujudia mtu. Hizi ni nyakati za hatari zilizotabiriwa kwamba kutatokea manabii wa uongo na Makristo wa uongo.
Mt 24:24
Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
 
Your browser is not able to play this audio.
 
Eh, hiki kithungu
 
Hako kakimpengele ka kusevu hela kwa ajili ya baadhi ya magonjwa sasa!
Ukiokoka unapata Amani ya Kristo tu lakini Dhiki ziko pale pale! Yesu Kristo anasema,Ulimwenguni mnayo dhiki lakini jipeni moyo kwa kuwa nimeushinda ulimwengu.
 
So baada ya kulombwa sana na kupata STIs za kutosha sasa umeamua utulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…