Jamani asiwadanganye mtu β€” kuokoka ni kutamu!

Niamini Mimi ukitaka kuthibitisha Hilo angalia wafia dini wote utagundua kuna kitu hakipo sawa kwa bahati mbaya ni Kama akili zao wote zinafanana
 
Reactions: Lax
Nilikuwa nimeokoka nikawa nasali kwa Pastor Tony ila tangu ile siku aseme anajaza gesi na mdomo imani yangu imerudi nyuma sanaπŸ₯²
 
Reactions: Lax
Nilikuwa nimeokoka nikawa nasali kwa Pastor Tony ila tangu ile siku aseme anajaza gesi na mdomo imani yangu imerudi nyuma sanaπŸ₯²
Mbona kuna makanisa mengi tu yanayohubiri kweli na yasiyofanya miujiza feki. Jiunge na hayo.
Kama umeiacha imani kwa sababu ya mtu mmoja tu inaonyesha hujasoma andiko hili:
Wagalatia 6:9
"Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe."

Siku ya mwisho hutajitetea kwamba Pastor fulani alikukwaza ukauacha wokovu. Utaadhibiwa tu.

By the way, unao ushahidi kwamba hajajaza gesi kwa kupuliza?
 
If so, unaenjoy
 
Naitaji kuokoka ntapata na mke kwenye kanisa unalosali?
 
Naitaji kuokoka
Wanayumba sana,Utatumbukia kwenye shimo reefu.

Matayo 19:25-26

25 Wanafunzi wake waliposikia haya walishangaa sana, wakamwuliza, β€œNi nani basi anaweza kuokoka?” 26 Lakini Yesu akawatazama akawaambia, β€œKwa binadamu jambo hili haliwezekani,
 
Masikini....
 
Naitaji kuokoka ntapata na mke kwenye kanisa unalosali?
Mke mwema mtu hupewa na BWANA (Mithali 19:14). Ukiokoka, muombe BWANA atakuongoza mahali utakapompata mke anayekufaa. Kama uko tayari kuokoka, omba (kwa kufuatisha kwa moyo wako wa dhati) sala hii ya toba.
Omba hivi:
β€œEe Mungu Baba, nimetambua mimi ni mwenye dhambi. Leo nakuja mbele zako nikiomba msamaha wako. Natubu dhambi zangu zote na kuziacha. Nakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana, na Yeye ndiye Mwokozi wa ulimwengu. Yesu karibu moyoni mwangu utawale maisha yangu kuanzia leo. Naomba unipe nguvu ya kushinda dhambi na kuishi maisha matakatifu. Namkataa shetani na kazi zake zote. Asante Yesu kwa kuniokoa. Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba na kushukuru. Amen.”

Kama umeomba sala hiyo kwa moyo wako wa dhati, tayari umeokoka. Anza kusoma Biblia kila siku na kumuomba Mungu akusaidie kuishi maisha ya utakatifu. Tafuta pia Kanisa lolote linalohubiri wokovu na kufundisha utakatifu, ujiunge nalo, watakupa msaada zaidi wa jinsi ya kuendelea kiroho.

Mungu akutunze, akufunike kwa ulinzi wake, na akuwezeshe kupata mke mwenye busara. Amen.
 
Upo duniani au umeshakwenda mbingu?
Kama biblia na uwepo wa mungu ungekuwa ni kitu cha kweli mzungu asingetaka mtu mweusi ajue, yaani tungekuwa wa mwisho kufahamu na tungetumia nguvu nyingi kufahamu ukweli.
 
Kama biblia na uwepo wa mungu ungekuwa ni kitu cha kweli mzungu asingetaka mtu mweusi ajue, yaani tungekuwa wa mwisho kufahamu na tungetumia nguvu nyingi kufahamu ukweli.
Jamani Demi unataka malaika aje kwako akuambie kwamba Biblia ni kitu cha kweli ndio uamini?
Sasa fanya hivi: nenda kwa mganga yeyote wa kienyeji unayesikia watu wakimsifu kwamba ni "konki". Mwambie anitumie uchawi aniloge niwe kichaa, halafu uone huo uchawi wake kama utafanya kitu kwangu. Am serious, hayo niliyokushuhudia ni mambo ya kweli kabisa. Hata mimi kabla sijaokoka, nilikuwa sijui faida za kuokoka. Wewe pia onja leo utakuja hapa kushuhudia jinsi kuokoka kulivyo kutamu
Your browser is not able to play this audio.
 
Hata huo uchawi siuamini kwahiyo siwezi kwenda kwa mganga wala kufanya jambo lolote la kishirikina.
 
Reactions: Lax
Hivi ile miujiza wanayotoa ushuhuda waumini wa kanisa la Mwamposa ni kweli?
 


From Google translate
Kukataa kwako kwa mkato, ingawa labda kulikupa faraja fulani, ni sawa na kujaribu kufunika jua na kibakuli kidogo. Ukweli unaobadilisha maisha wa wokovu hautegemei kukubaliana kwako wala hauwezi kudhoofishwa na dhihaka ya kawaida; unajithibitisha wenyewe, umekita mizizi katika ukweli usiobadilika ambao unavuka mawimbi ya muda ya maoni ya wanadamu. Lakini, mtu hawezi kumlaumu kipofu kwa kushindwa kufurahia macheo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…