Jamani asiwadanganye mtu — kuokoka ni kutamu!

Hata huo uchawi siuamini kwahiyo siwezi kwenda kwa mganga wala kufanya jambo lolote la kishirikina.
OK, sasa unafanyaje ku-prove kwamba niliyoyashuhudia hapa sio ya kweli? Without evidence, your assertion is mere conjecture
 
OK, sasa unafanyaje ku-prove kwamba niliyoyashuhudia hapa sio ya kweli? Without evidence, your assertion is mere conjecture
Kuprove sio kazi yangu, wewe amini unachoamini ila mimi naamini ni porojo
 
Kuprove sio kazi yangu, wewe amini unachoamini ila mimi naamini ni porojo
Sawa. Endelea tu kushupaza shingo. Siku yako ya mwisho kuishi duniani ikifika, ndio utajua kwamba niliyokuambia yalikuwa sio porojo (Mit 29:1-14)
ILA UTAKUWA UMECHELEWA KUAMINI.
Baada ya kifo ni hukumu (Ebr 9:27-26)
 
Punguza kujieleza, tukuitie mgonjwa umponye kupitia huyo Mungu wako unaempigia debe umu kila muda, Mungu ambaye hawezi kujitetea mpaka atume viumbe dhaifu kama ninyi mumtetee aibu gani hii?
 
Off course kuoka kwenye ajari mbaya ni kutam sana . Unaona mlio kuwa nao wamenda Mbiguni wewe umbaki lazima ufurahi.
 
Sawa. Endelea tu kushupaza shingo. Siku yako ya mwisho kuishi duniani ikifika, ndio utajua kwamba niliyokuambia yalikuwa sio porojo (Mit 29:1-14)
ILA UTAKUWA UMECHELEWA KUAMINI.
Baada ya kifo ni hukumu (Ebr 9:27-26)
Porojo
 
Nakushangaa kwa kuwa wewe ni mwafrika, angekuwa myahudi poa. Huo ni utamaduni wa kiyahudi hasa wale wenye IQ ndogo.
 
Haleluyaaaah; hiyo ngoma sasa uliyomaliza nayo🎶🎶🎶😂😂
 
Kama na wewe umeokoka, shuhudia hapa baraka ulizozipata baada ya kumpokea Yesu. Usimuonee aibu Yesu. Ukimuonea aibu, Yesu atakuonea aibu. Kumuonea aibu Yesu ni kama kusema “Simjui” — hivyo na Yeye hatakutambua siku atakapokuja.
Hakika YESU NI JIBU LA MAISHA

Mimi ni Meneja Ofisi kubwa tu ya Umma na sina hata Masters; lakini Yesu ananipa Maarifa kama ya Profesa💒💒
 
Achana na shetani huyo , ubarikiwe sana
Tusiachane naye, inabidi tufanye bidii tu kumchomoa kwenye ufalme wa giza. Akili zake zimetiwa giza.
(2 Kor 4:4-6; Efe 4:18-20)
 
Hakika YESU NI JIBU LA MAISHA

Mimi ni Meneja Ofisi kubwa tu ya Umma na sina hata Masters; lakini Yesu ananipa Maarifa kama ya Profesa💒💒
Wow, ubarikiwe sana. Asante kwa ushuhuda huo mzuri. Haleluya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…