Jamani askari tuliostaafu tunaomba Rais Magufuli utukumbuke pensheni bado, hali ni ngumu mtaani huku

Huyo Wala sio mstaafu, ameleta hii stori kupima hasira za watu. Wadau mnamwaga povu balaa.
Na povu linawatoka kweli kweli...watu wapo bze wanatoka povu kweli kweli kwa story za kutunga...na hili ndio tatzo la social media mtu yoyote anaweza kuamka akajitungia story na watu bila ht kufanya uchunguzi wa dk 2 kujiridhisha na credibility ya habari husika wakaanza kuchangia kwa mihemko yote.
Tumekua victims wa habari za kutunga ktk social media...
 
Nitakaa kimya kama ww na wenzio ndio wamiliki halali wa nchi hii kama mnavyojigamba, tumeshakuwa werevu msifikiri kila mtu ni zezeta uchawi wenu ume expire
umekua mwerevu baada ya kustaafu? Shame on you [emoji34] pambana na hali yako
 
kwa upumbavu wanaotufanyia acha tumuandame mpaka afe kwa pressure
Na atakufa bila kupata chochote !!!! Mwambie viongozi wa ccm wamefilisi mifuko ya hifadhi ya jamii!!! Watu wamestaafu miaka miwili hawana chochote sio monthly pay wala lampsum!!! Hiyo awalaumu aliokua anawalinda
 
Pambaneni na hali zenu.Mabwawa ya umeme yanajengwa.Ndege zimenunuliwa.Hamuoni kazi inafanywa?
 
Na ninyi pia?
Wenzenu wa EAC hawajalipwa miezi kadhaa zinabaki ngonjera za uhakiki kama vile hawajulikani
 
Mimi hata nikute poti anakufa na njaa ndio kwanza naagiza soda ninywe!
Wewe soda tu mkuu? Mimi nawanunulia mabarmeid bia tatu tatu, kongoro, na mishkaki miwilimiwili kaunta atapata faru Jon. Poti sio watu mtu wangu.
 
Jeshi la kizalendo liko Malawi. Wananchi waliandamana kupinga ujinga wa serikali, polisi vibaraka wakaleta za kuleta jeshi likaingilia Kati na kuwafurusha polishit
 
Pole Sana serikali inabidi iwape haki yenu, I wonder pia wengine wanaotoa kejeli kwenye swala sensitive hivi
Hakuna kejeli hapo isipokuwa tu ni somo la kujifunza kwamba tusjjisahau sana kwenye nafasi zetu. Na kwamba what goes around comes around.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…